Jihadharini na IML FOREX.

Jihadharini na IML FOREX.

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,335
Wakuu.
Natumaini wote tu wazima kwa uwezo wa Mungu wetu, imenilazimu tena kuja jukwaani ili tupeane taarifa za mawili matatu yanayojiri kila leo ktk maisha yetu ya kila siku.
Baada ya kuonekana kwamba FOREX ni mkombozi kiuchumi kwa maelfu ya watu duniani (warning:hadi usome na kuijua vizuri FOREX, ukikurupuka utaumia) Kama ilivyo kawaida ya wapiga dili, wameibuka na kampuni iitwayo IML,(International Markets Live) hii kampuni ni maalumu kwa watu wanaoipenda FOREX ila hawajui ku trade na ni wavivu wa kujisomea ili wapate maarifa ya ku trade.
Kampuni hii inachofanya ni kukutaka wewe unayejiunga uwe na mtu ambaye umejiunga nyuma yake, yaani refferal link, na wote muwe mmetoa sh 600,000 kila mmoja,kisha hiyo kampuni wana trade kwa ajili yenu, na kila mwezi ktk faida inayopatikana muwalipe sh 150,000 kila mmoja.
Ikitokea aliyekuunga hajalipa hiyo ada na wewe pia unakatwa na pia hulipwi pesa yako.
Madai yao eti wana trade Kwa ajili yako na huku wakikufundisha uwe professional trader wakati si kweli hawafundishi chochote zaidi ya kula pesa zako tu.
Na Ikitokea unataka pesa zako hawakupi hata cent.
Kwa sababu ya uvivu wa kujisomea, watu wengi wamekimbilia IML na cha moto wamekipata.
Hiyo ndo gharama ya kuwa mvivu wa kujisomea.
kwanza FOREX huwa haina refferal link, lakini wenyewe wanajiita FOREX pia.
FOREX ni biashara Kama ilivyo biashara zingine, ina faida na hasara pia.
Wenyewe wanaaminisha watu kuwa eti ni faida tu wakati ni uongo mtupu.
Watu wengi wamepoteza pesa zao IML kwa sababu ya tamaa za kupata pesa bila kuumiza kichwa.
Ushauri Wangu, Kama unataka kupata pesa kupitia FOREX, jitoe mhanga kwa kutumia muda wako ujisomee hasa, ujifunze hasa, mambo yote yapo mtandaoni, ukiwa mvivu na kupenda vya dezo, utakutana na IML na kampuni zingine ambazo unafundishwa halafu unachaguliwa na Broker wa hovyo kabisa Kama JPMarkets, FOREX ni nzuri mno endapo utaamua hasa ujifunze kwanza, Kuna Brokers wengi mno wazuri, tena unaanza kwa $100 au chini yake na Bonus pia unapewa na siyo kuunguza pesa kwa matapeli yaliyoshindikana .
 
Hao jamaa niliwagudua mda mrefu ni watapeli maana nilijaribu mwenyewe kutafuta brocker na kujiunga na kila kitu kikawa sawa
 
Ahsante kwa taarifa mkuu
Ukisema ahsante inaonekana taarifa ni kweli, Tuwaache kwanza wapoteze pesa zao kwanza, Tatizo watu wanataka mkato wanalala wanaota Biko, Sasa hii Forex walijua ni kuvuna tu

Watu iliwapasa waangalie lengo kuu kwanza la forex halafu wangejiuliza what if Will go wrong

Sasa naona wengi wamepoteza pesa wanafanya Crisis management
 
My Son drink water kuna swali nilikuuliza kwenye uzi wako wa mwisho ukalichunia!!

Je ni kwanini unasema JP markets ni broker wa hovyo?

Je nikitaka kujua broker ambaye sio wa hovyo nitajuaje?

Je unaweza nitajia walau broker mmoja unayemjua ambaye sio wa hovyo (na utaje na sababu za kumtaja)?
 
Mazuzu mtapigwa sana.

Mpaka akili zenu zitakapokaa sawa.
 
Ukisema ahsante inaonekana taarifa ni kweli, Tuwaache kwanza wapoteze pesa zao kwanza, Tatizo watu wanataka mkato wanalala wanaota Biko, Sasa hii Forex walijua ni kuvuna tu

Watu iliwapasa waangalie lengo kuu kwanza la forex halafu wangejiuliza what if Will go wrong

Sasa naona wengi wamepoteza pesa wanafanya Crisis management
Ahsante kwa taarifa, inajumuisha kila aina ya Taarifa kwa wakati husika ambayo ulikuwa huijui.

Mimi hapo nimeshukuru kuhabarishwa, sijakubali au kukataa nilichohabarishwa
 
My Son drink water kuna swali nilikuuliza kwenye uzi wako wa mwisho ukalichunia!!

Je ni kwanini unasema JP markets ni broker wa hovyo?

Je nikitaka kujua broker ambaye sio wa hovyo nitajuaje?

Je unaweza nitajia walau broker mmoja unayemjua ambaye sio wa hovyo (na utaje na sababu za kumtaja)?
Mkuu, maswali yako ni mazuri ila nitayajibu kwa summary, jpmarkets ni Broker anayejitahidi Sana kukufyonza mtaji wako badala ya kukusaidia usonge mbele, ma broker wazuri wapo wengi Sana mfano Tradeo ukitaka kujua ubaya au uzuri wa broker, nenda google andika "what people talk about........ "mbele ya about andika jina la broker na utapata ukweli wote.
 
Mkuu tuko hapa kwa ajili ya kujifunza, na mimi naomba unieleweshe nijue!!

Hapo hamna swali ulilojibu zaidi ya swali la mwisho ambalo pia umeligusa tu na hujajibu lote!! Umesema jp market anajitahidi kufyonza ela za watu bila kuelezea kivipi!!

Maswali yangu ni haya...

Je ni kwanini unasema JP markets ni broker wa hovyo? (naomba sababu)

Je nikitaka kujua broker ambaye sio wa hovyo nitajuaje?

Je unaweza nitajia walau broker mmoja unayemjua ambaye sio wa hovyo (na utaje na sababu za kumtaja)?

Je unaweza nitofautishia kati ya ECN/STP na Market maker broker?

NB: Kama huna muda wa kujibu maswali yote kwa ufasaha ni vyema ukayajibu ukiwa muda, majibu ya "summary" hayata tusadia kujifunza!!!

Karibu!
 
If you are a good trader you will make money even with a bad broker.

If you are a bad trader you will lose money even with number one world class broker.

In most cases hakuna broker mbaya.. Nawashangaa watu wanatumia zaidi ya mwaka kutafuta broker mzur.. Huo ni ujinga..

Mi naweza kukuambia tumia FXCM, XM, HOTFOREX, DUKASKOPY.. chagua yoyote and you are done..
 
Mkuu tuko hapa kwa ajili ya kujifunza, na mimi naomba unieleweshe nijue!!

Hapo hamna swali ulilojibu zaidi ya swali la mwisho ambalo pia umeligusa tu na hujajibu lote!! Umesema jp market anajitahidi kufyonza ela za watu bila kuelezea kivipi!!

Maswali yangu ni haya...

Je ni kwanini unasema JP markets ni broker wa hovyo? (naomba sababu)

Je nikitaka kujua broker ambaye sio wa hovyo nitajuaje?

Je unaweza nitajia walau broker mmoja unayemjua ambaye sio wa hovyo (na utaje na sababu za kumtaja)?

Je unaweza nitofautishia kati ya ECN/STP na Market maker broker?

NB: Kama huna muda wa kujibu maswali yote kwa ufasaha ni vyema ukayajibu ukiwa muda, majibu ya "summary" hayata tusadia kujifunza!!!

Karibu!
Nimekujibu kwa ufasaha Sana, na nikakupa na mbinu ya kuwajua ma Broker wazuri na wabaya, zaidi ya hapo sina jibu, siwezi kutoa maelezo ya kina ya uzuri na ubaya wa kila Broker, nimekupa mbinu rahisi ya kwenda google ili umjue Broker yeyote unayetaka, huko google utakutana na traders mbalimbali kutoka nchi tofauti duniani ambao watakata kiu yako lakini bado unadai sijakujibu, anyway stick at your own stand
 
Achana kupoteza mda na vitu vya kijinga.. Hata huyo jp market ni mzuri japo sijawah kumtumia ila hata nikimtumia hawez kuwa mbaya kwangu..

As long as you are a good trader no body can stop you to slay the market..

Unachotakiwa kuumiza kichwa ni kupata strategy nzur na sio kuumiza kichwa kupata broker.
 
Watakuambia sijui huyu market marker sijui nini nini.. Even that shit no gonna stop u from making money..

Who is market marker? Is a trader like you.. Kwamba at some time they think you are wrong and take position against you.. So if you lose they win and vice versa is true.. So ukiwa good trader hata market marker watakuogopa coz they will not open position against you maana wanajua they will lose.. In that case your orders will be directed to the market..
 
Halafu hata usidanganyike there is even no such a thing kwamba kuna pure STP/ECN broker..

Those dudes are smart huwa wanajua clients walionao who are good traders and bad traders..

In that case hata huyo STP/ECN at some point anajeuka kuwa market marker to some of their clients kwa maana anajua hawa wateja ni mbululaz hawajui ku trade in the long run they are 95% sure wataunguza account so what they do they will always trade against you.

Halafu unaweza fikiri hawafanyi market marking maana you will open position at even smallest spread and quick execution but wenyewe wanajua wanachofanya
 
Nimekujibu kwa ufasaha Sana, na nikakupa na mbinu ya kuwajua ma Broker wazuri na wabaya, zaidi ya hapo sina jibu, siwezi kutoa maelezo ya kina ya uzuri na ubaya wa kila Broker, nimekupa mbinu rahisi ya kwenda google ili umjue Broker yeyote unayetaka, huko google utakutana na traders mbalimbali kutoka nchi tofauti duniani ambao watakata kiu yako lakini bado unadai sijakujibu, anyway stick at your own stand
Nimekupata mkuu, hata mimi nimecheki huyo uliyemtaja kwamba ni mzuri naona na yeye ana review mbaya tu! sasa hapo unatushaurije?

Mimi sijawahi watumia hao jpmarkets, ila kitu kinachonishangaza ni pale mtu anasema huyu ni mbaya huyu ni mzuri bila kuwa na sababu za msingi!!! kusema broker anafanya upoteze hela huo ni uongo maana anaye trade ni wewe na sio broker (na hii ndio sababu niliomba unitofautishie kati ya ECN na market maker brokers pia ukashindwa na ungenijibu ungeelewa nnachosema hapa!!)

Anyway ndio maana tunashauri watu wasome wawe na maarifa ya kugundua baya na jema kuliko kupata majibu kama haya yako yasiyo na mantiki ndani yake!!

Nadhani tuishie hapa mkuu!
 
Back
Top Bottom