Kuna mahala najiandaa Kwenda sasa Msibani ila nitapenda pia nikiwa huko niweze Kuwajua Wanafiki kwa Marehemu na wale Wenzangu ambao kweli tumeguswa na tunamlilia Marehemu kutoka katika Mioyo yetu...
WATUHUMIWA wanne akiwamo mtoto David Kasila (15), wanatarajiwa kufikishwa mahakamani Machi 4, mwaka huu kwa tuhuma za mauaji ya watoto mkoani Njombe.
Kasila alifikishwa kwa mara ya kwanza...
Wakuu kwema?
Kwa kufupi tu,mm na wenzangu takribani 400,mwaka jana mwenzi wa nane tulibahatika kuhitimu masomo yetu ya shahada ya kwanza ktk ualimu tukijikita zaidi kwenye ualimu wa masomo ya...
Uwezo wa mwanamke huyu mjuzi wa mpira na danadana za miguu na kichwa, umeushangaza ulimwengu baada ya clip hii kusambaa mtandaoni wiki hii. Uwezo wake si wa kawaida, anavyouchezea mpira, utadhani...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELELEO-CHADEMA WILAYA YA ROMBO.
Tunapenda kuwataarifu viongozi, wanachama wa Chadema na Wananchi wote wa jimbo la Rombo na maeneo mengine kuwa, Mh. Mbunge wetu wa...
Serikali kupitia Wizara ya Madini inakamilisha taratibu za utoaji wa Leseni kwa Migodi Mikubwa ambazo hazijawahi kutolewa nchini, huku migodi hiyo ikitarajiwa kuanzishwa hivi karibuni.
Hayo...
Siku za hivi karibuni nimekuwa mtu wa kukata tamaa kabisa sielewi kwanini?Najaribu kuiepuka hali hii Kwa kujiweka busy na pengine kuangalia movie na mpira lakini hainiishi.Sijui nifanye nini?
Tumeona wasanii wengi sana ili wafanikiwe wamekuwa wakifanya manbo ambayo yahakubaliki katika jamii (jamii ambayo haijapotoka).
Si ajabu kumuona mwanamziki au msanii wa kiume akiwa amevaa nguo...
Habarini wakuu!
Kadri miaka inavyozidi kwenda kuna watu nawafananisha kama vile ndugu wa damu ama wametoka ukoo mmoja.
Mwigizaji nguli wa siku nyingi Muhogo Mchungu na Dk. Hamis Kigwangalla...
watanzania ni WANAFIKI SANA.MPAKA TUNAOGOPESHA. baada ya Ruge kufa kila mtu atamsifia na kujifanya walikuwa karibu n.k
lakini n watu hawa hawa ambao walikuwa wakimsema kuwa ni mnyonyaji n k...
Salaam,
Kuna faida lukuki za mtu kuzaliwa na kuishi nchi zilizoendelea sio zinazoendelea. Ni muhimu sana kufahamu kuwa utofauti huo sio wa bahati mbaya, yapo mambo yanayo changia kwa kiasi kikubwa...
EU 'blue card' to tempt skilled
There are fears the plan could lead to a brain drain from poorer nations
The European Commission is set to unveil a Blue Card for skilled immigrants, based...
KARIBU asilimia 80 ya wananchi waishio Tanzania Bara hawasajiliwa wala kuwa na vyeti vya kuzaliwa, huku wale waliosajiliwa na kuwa na vyeti hivyo wakiwa ni asilimia 13.4.
Hayo yalibainishwa juzi...
Breaking news: kunataarifa kutoka mkoani Simiyu zinadai Mgodi wa madini wa Gasuma umetitia na ndani kulikuwa na watu wakiendelea na uchimbaji hivyo kama una ndugu yako fanya kujua hali yake.
Sent...
Hahaha jiji la makonda ina Raha zake kipindi nipo kijijini nilikuwa siitwi boss/mkuu siku hizi boss kwenda mbele ,waliosahau jina langu na kunibatiza uboss ni hawa wadau wangu wanguvu
1.Mateja...
Nilidhani labda ilikuwa ni bahati mbaya tu ila kumbe nimegundua ni desturi yao / mchezo wao wa kawaida ambapo nimekuwa nikishuhudia Wanajeshi wengi hasa wa Vyeo vya kawaida tu ( Non Commissioned )...
Kila mtu sasa kaguswa na kifo kuliko matatizo ya ruge akiwa hai!
Sina maana kwamba tumtafte mchawi lakini ukweli ni kwamba kabla ya kifo cha Ruge kulikuwa na maisha, ni vyema sasa tukajikita sasa...
Hii ni kwa marehemu wote na marehemu watarajiwa. Mambo ya kumpangia Mungu eti mlaze mahali pema peponi hiyo sio kazi yako ni Mungu pekee ajuaye nani wa kumlaza pema peponi na nani wa motoni! Hivyo...
Hasa wakurya wameanza tabia za kigoma
Walimu wamelalamika sana kulogwa na kina mwita, chacha na marwa, hebu sikia, yan.mchawi anakula mpaka samaki ndani ya Nyumba za watu,
Mke wa mkuu wa shule...