Boeing na tolea lao jipya some thing wrong, je technical default au pilot knowledge gap

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
2,337
2,000
Hizi ni ndege zilizofanyiwa upgrade kutoka BOEING 787Boeing 737 Max-8 imekuwa katika safari za kibiashara tangu mwaka 2017.

Mwezi October mwaka jana Lion Air Boeing 737 Max ilianguka muda mfupi baada ya kuondoka kutoka Jakarta, Indonesia, na kuwauwa watu wote 189 waliokuwa ndani yake.ndege ya Ethiopia ET302 pia ilianguka chini dakika chache tu baada ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege

ndege ilikuwa imetumika kwa safari za usafiri kwa chini yamiezi mitatu.Chanzo cha ajali hakijajulikana. Hatahvyo inaarifiwa rubani aliripoti kukabiliwana hitilafu na aliomba kurudi Addis.katika kipindi cha siku chache baada ya ajali ya Lion Air, watengenezaji wa ndege ya Boeing walitoa muongozo wa namna ndege zinavyopaswa kuendeshwa.

Katika ajali ya nyuma, marubani walionekana kutatizika na mfumo huo wa kujitegemea ulioundwa kuizuia ndege hiyo kukwama, ulioidhinishwa katika Boeing 737 Max.NB :NI BORA ZIENDESHWE NA WENYEWE WALIOTENGENEZA
 
Lekakui

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,448
1,225

Ulichokisema ni sawa kabisa,hizi ndege 737 seating configuration yake ni 3 kwa 3.hii iliyopata ajali inaoneka ni wide body 2 kwa 4 kwa 3,sasa huenda kuna kitu hakiko sawa,anyway ndo hivyo siku ikifika imefika tu,kikubwa ni kuwaombea wote waliopeteza maisha wapate puumziko la amani,
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,155
2,000
... inapotokea major fault hakuna namna ila kama ni "ujinga" wa rubani basi kuwe na namna ya kuweza kui-control directly from a ground station.
 
MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
2,337
2,000
Ulichokisema ni sawa kabisa,hizi ndege 737 seating configuration yake ni 3 kwa 3.hii iliyopata ajali inaoneka ni wide body 2 kwa 4 kwa 3,sasa huenda kuna kitu hakiko sawa,anyway ndo hivyo siku ikifika imefika tu,kikubwa ni kuwaombea wote waliopeteza maisha wapate puumziko la amani,
NI SAWA NA KINYONZI ANAJIFUNZIA KATIKA KICHWA CHAKO WHAT
happen
 
Trimmer

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,487
2,000
Ndege mpya za ATC zimekua zikiendeshwa na wazungu,, na kumekuwepo kelele nyingi sana hasa kuhusu malipo yao,, watu wanasahau ya kuwa vitu vizuri ni ghali,,
 
Component

JF-Expert Member
Jan 31, 2019
334
250
Hizi ni ndege zilizofanyiwa upgrade kutoka BOEING 787Boeing 737 Max-8 imekuwa katika safari za kibiashara tangu mwaka 2017.

Mwezi October mwaka jana Lion Air Boeing 737 Max ilianguka muda mfupi baada ya kuondoka kutoka Jakarta, Indonesia, na kuwauwa watu wote 189 waliokuwa ndani yake.ndege ya Ethiopia ET302 pia ilianguka chini dakika chache tu baada ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege

ndege ilikuwa imetumika kwa safari za usafiri kwa chini yamiezi mitatu.Chanzo cha ajali hakijajulikana. Hatahvyo inaarifiwa rubani aliripoti kukabiliwana hitilafu na aliomba kurudi Addis.katika kipindi cha siku chache baada ya ajali ya Lion Air, watengenezaji wa ndege ya Boeing walitoa muongozo wa namna ndege zinavyopaswa kuendeshwa.

Katika ajali ya nyuma, marubani walionekana kutatizika na mfumo huo wa kujitegemea ulioundwa kuizuia ndege hiyo kukwama, ulioidhinishwa katika Boeing 737 Max.NB :NI BORA ZIENDESHWE NA WENYEWE WALIOTENGENEZA
barafu
Plse ujuzi / maarifa yako ktk Aviation field., unahitajika.

RIP abiria wa ajali ya ndege ya ET302 Ethiopian Airlines
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom