Wasiojulikana watua Zanzibar , Gari la Mkurugenzi wa Redio Bahari inayomilikiwa na CCM lachomwa moto

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,570
217,923
Hii ni kwa mujibu wa Farouk Karim wa ITV , bado haijafahamika hasa wahusika wa tukio hilo .

Taarifa zaidi zitawajia punde ...

=======

Watu wasiojulikana wamechoma moto gari la aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ambaye pia ni Mkurugenzi wa kituo cha redio Bahari kinachomilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) usiku wa manane visiwani Zanzibar.
FB_IMG_1552293003310.jpg
 
Huku kwetu wapo tena wanajulikana wametokea wapi ..hawajulikani sura maana wanazifunika...
Unashindana kwa silaha nzito na vifaru ..dhidi ya mtu ambaye hana hata bunduki??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom