Msaada wa ushauri kuhusu solar Power

federicofernandez

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
578
392
Nategemea kuinstall solar System kama nishati ya umeme kwenye nyumba yangu

Mwenye ujuzi wa solar aniambie nini nizingatie nnaponunua solar? Yenye uwezo wa kusukuma friji,Tv,feni pamoja na taa za nnje na ndani
 
Unafanya uamuzi mzuri sana wa kuwa na solar power. Navyo andika hapa mimi nipo mbali kijijini Morogoro hakuna umeme wa Tanesco lakini naatumia laptop kuanzia asubuhi hadi jioni ipo kazini, Tv kubwa ya tumbo ipo on mda mrefu tu wa mchana na usiku naangalia walu masaa 2. Taa 5 each 5watts zinawaka nje usiku kucha achilia mbali zile za ndani. Natumia blenda ya juice, pasi ya solar, nachaji simu, nk. Hayo yote ni kwa panel 2 zenye kutoa watts 200 kwa jumla. Nina inverter ya watts 600 na charger ya amps 20. Nina battery moja tu ya maji Amph 100. Sijawahi kujuta au kukosa umeme tangu niweke solar hii mwaka 1 uliopita. Kama unataka kuwa na friji na feni napendekeza uifanye iwe na uwezo mara 2 hivi ya hii ya kwangu.

Nunua panels za watts 400, solar charger amps 30, inverter watts 1000 na battery 3 kila moja Amph 100. Hii system utaweza kupampu maji kutoka kwenye kisima pia na kweli utakuwa huru na Tanesco.

Usinunu battery zile wanaita dry battery kwani sio nzuri kama za maji (uzoefu wangu). Utakapoweka panel zako ziwe pasipo na kivuli na mwelekeo wake kama ni juu ya bati basi ziwekwe on flat surface, kama unaweza jenga mnara mfupi ardhini weka panel juu yake inategemea na usalama uliopo, fanya mnara huo uwe rotatable yaani unaweza kuuzungusha kufuata mwelekeo wa jua na hapo utaongeza ufanishi ya system yako kwa 30%. Enyoy.
 
Duh! Hiyo yako mbona kubwa sana unaitmia kwa matumiz gani mengne? Mimi yangu ya whatts 150
 
Safi sana. Naamini Kama watanzania tungekuwa na maono, tungejitahidi kuwekeza kwenye solar. Kwanza it's cheaper and reliable. Personally nimeanza kujenga nyumba ya kisasa kijijini lakini mpango wangu ni kuwekeza kwenye nishati ya solar. Ya uhakika. Kama ikiwezekana sitaki tanesco Kabisa. Mpaka Leo sielewi kwa nini mtu anajenga ghorofa au nyumba ya kawaida Dar Es salaam au kwingineko lakini bado anakimbizana na Umeme wa tanesco na Jua lote la Dar! Mfano hata maofisi ya serikali wangepunguza Bill za umeme kwa kuweka solar panels za kutosha.

Tuamke. Nishati ya solar is the future. hata serikali ijitahidi kuhamasisha wananchi wawekeze kwenye solar.

Asante sana mleta mada kwa huu uzi.
 
Naomb kujua bei za hivo vifaa
Nenda dukani kaulize, siku hizi bei zake ni chini kabisa, ila gharama yake ni kubwa wakati wa kuweka lakini baada ya hapo hakuna malipo yoyote. Kwa mfano betri moja kubwa si chini ya laki tatu ongeza panel waya na zinatakiwa waya ni kubwa kwa ufanisi zaidi, charge conrol kwa ajili ya kulinda sora na betri ongeza inverter hapo umeua kazi na kama utanunua betri tatu jiandae zaidi ya milion mbili kukamilisha na huo utakuwa mziki hata TANESCO haioni ndani. Kumbuka gharama hizi si kubwa kwani hata ukiweka umeme wa TANESCO gharama za kununua vifaa na fundi na gharama za TANESCO na rushwa juu zinakaribia au kuzidi hiyo gharama na huku unalipia luku kila inapohitajika. Kma huna uwezo wasiliana na Zola au Mobisol ambao utalipa polepole huku unapata huduma.
 
Umeme wa kueleweka nibTanesco tu asikudanganye mtu.. Coz umeme wa tanesco utakuwezesha kutumia vifaa vyako vya umeme bila masharti.. Hivi vya sola unatumia tu kwa kuwa hakuna jinsi as vinalimitations kibao.. Kwanza hyo tv huwez washa full time utaangalia taarifa ya habari tu.. May b labda kama utainvest kwemye system kubwa ya sola (Uzoefu wangu)
 
Nenda dukani kaulize, siku hizi bei zake ni chini kabisa, ila gharama yake ni kubwa wakati wa kuweka lakini baada ya hapo hakuna malipo yoyote. Kwa mfano betri moja kubwa si chini ya laki tatu ongeza panel waya na zinatakiwa waya ni kubwa kwa ufanisi zaidi, charge conrol kwa ajili ya kulinda sora na betri ongeza inverter hapo umeua kazi na kama utanunua betri tatu jiandae zaidi ya milion mbili kukamilisha na huo utakuwa mziki hata TANESCO haioni ndani. Kumbuka gharama hizi si kubwa kwani hata ukiweka umeme wa TANESCO gharama za kununua vifaa na fundi na gharama za TANESCO na rushwa juu zinakaribia au kuzidi hiyo gharama na huku unalipia luku kila inapohitajika. Kma huna uwezo wasiliana na Zola au Mobisol ambao utalipa polepole huku unapata huduma.
Asante mkuu nimekupata
 
Ukishajua utamu wa solar hutaacha tena nawashauri watanzania watumie solar electricity inalipa sana
 
Unafanya uamuzi mzuri sana wa kuwa na solar power. Navyo andika hapa mimi nipo mbali kijijini Morogoro hakuna umeme wa Tanesco lakini naatumia laptop kuanzia asubuhi hadi jioni ipo kazini, Tv kubwa ya tumbo ipo on mda mrefu tu wa mchana na usiku naangalia walu masaa 2. Taa 5 each 5watts zinawaka nje usiku kucha achilia mbali zile za ndani. Natumia blenda ya juice, pasi ya solar, nachaji simu, nk. Hayo yote ni kwa panel 2 zenye kutoa watts 200 kwa jumla. Nina inverter ya watts 600 na charger ya amps 20. Nina battery moja tu ya maji Amph 100. Sijawahi kujuta au kukosa umeme tangu niweke solar hii mwaka 1 uliopita. Kama unataka kuwa na friji na feni napendekeza uifanye iwe na uwezo mara 2 hivi ya hii ya kwangu.

Nunua panels za watts 400, solar charger amps 30, inverter watts 1000 na battery 3 kila moja Amph 100. Hii system utaweza kupampu maji kutoka kwenye kisima pia na kweli utakuwa huru na Tanesco.

Usinunu battery zile wanaita dry battery kwani sio nzuri kama za maji (uzoefu wangu). Utakapoweka panel zako ziwe pasipo na kivuli na mwelekeo wake kama ni juu ya bati basi ziwekwe on flat surface, kama unaweza jenga mnara mfupi ardhini weka panel juu yake inategemea na usalama uliopo, fanya mnara huo uwe rotatable yaani unaweza kuuzungusha kufuata mwelekeo wa jua na hapo utaongeza ufanishi ya system yako kwa 30%. Enyoy.
mkuu betri yangu imepungua maji vip unanishauri nimwage maji niweke mapya au nijalizie bila kumwaga ya zamani. Pia unanishauri niweke aina gani ya maji? betri yangu ni aina ya voltmax
 
Dah, aliyeanzisha mada katusaidia wengi, maana mimi pia nataka niachane na maigizo ya Tanesco. Maelezo haya yamenisaidia sana...
 
Umenihamasisha kuhamia kijijini, vipi investment yote imegharimu kama M ngapi
 
mkuu betri yangu imepungua maji vip unanishauri nimwage maji niweke mapya au nijalizie bila kumwaga ya zamani. Pia unanishauri niweke aina gani ya maji? betri yangu ni aina ya voltmax
maji makali usijazilize ongeza maji mapole yapo kwenye maduka ya vifaa vya magari kama hujawa tayari kuyamwaga yote, lakini maji kama uamechoka mwaga uweke mapya. TAFADHARI USIONGEZE MAJI MAKALI utaua betri.
 
Mtaalam nisaidie hili. Nina Sola 60Wt betri N50 haijaisha maji ipo full lakini jua likizima tu basi Inveter nayo haipeleki moto, likiwa tu inafanya kazi kama kawaida hata nikiunga direct toka sola na inveta bado hali ni ileile. Sijajua sola ndo mbovu au betri.
 
Unafanya uamuzi mzuri sana wa kuwa na solar power. Navyo andika hapa mimi nipo mbali kijijini Morogoro hakuna umeme wa Tanesco lakini naatumia laptop kuanzia asubuhi hadi jioni ipo kazini, Tv kubwa ya tumbo ipo on mda mrefu tu wa mchana na usiku naangalia walu masaa 2. Taa 5 each 5watts zinawaka nje usiku kucha achilia mbali zile za ndani. Natumia blenda ya juice, pasi ya solar, nachaji simu, nk. Hayo yote ni kwa panel 2 zenye kutoa watts 200 kwa jumla. Nina inverter ya watts 600 na charger ya amps 20. Nina battery moja tu ya maji Amph 100. Sijawahi kujuta au kukosa umeme tangu niweke solar hii mwaka 1 uliopita. Kama unataka kuwa na friji na feni napendekeza uifanye iwe na uwezo mara 2 hivi ya hii ya kwangu.

Nunua panels za watts 400, solar charger amps 30, inverter watts 1000 na battery 3 kila moja Amph 100. Hii system utaweza kupampu maji kutoka kwenye kisima pia na kweli utakuwa huru na Tanesco.

Usinunu battery zile wanaita dry battery kwani sio nzuri kama za maji (uzoefu wangu). Utakapoweka panel zako ziwe pasipo na kivuli na mwelekeo wake kama ni juu ya bati basi ziwekwe on flat surface, kama unaweza jenga mnara mfupi ardhini weka panel juu yake inategemea na usalama uliopo, fanya mnara huo uwe rotatable yaani unaweza kuuzungusha kufuata mwelekeo wa jua na hapo utaongeza ufanishi ya system yako kwa 30%. Enyoy.
Good Planing hata mjini utapunguza unit za umeme na kuwekwa ktk unit 1 kwa 100sh,ikiwa utagawa tanesco usiku na mchana solar
 
maji makali usijazilize ongeza maji mapole yapo kwenye maduka ya vifaa vya magari kama hujawa tayari kuyamwaga yote, lakini maji kama uamechoka mwaga uweke mapya. TAFADHARI USIONGEZE MAJI MAKALI utaua betri.
asante mkuu, dukani hayo maji yanaitwaje?
 
mkuu betri yangu imepungua maji vip unanishauri nimwage maji niweke mapya au nijalizie bila kumwaga ya zamani. Pia unanishauri niweke aina gani ya maji? betri yangu ni aina ya voltmax
Kama maji yamepungua kutokana na kumwagika basi unatakiwa kumwaga maji yote na kuweka mapya. Lakini kama yamepungua kwasababu za kawaida yaani kwa sababu ya kutumia (evaporation due to chemical processes) basi unatakiwa kuweka maji mapole (distilled water) hadi cell zote zijae. Usiweke maji hadi kufunika vitundu vilivyoko ndani kwaajili ya kupumulia kwani maji yatamwagika. Tafuta maji ambayo ni genuine.
 
Unafanya uamuzi mzuri sana wa kuwa na solar power. Navyo andika hapa mimi nipo mbali kijijini Morogoro hakuna umeme wa Tanesco lakini naatumia laptop kuanzia asubuhi hadi jioni ipo kazini, Tv kubwa ya tumbo ipo on mda mrefu tu wa mchana na usiku naangalia walu masaa 2. Taa 5 each 5watts zinawaka nje usiku kucha achilia mbali zile za ndani. Natumia blenda ya juice, pasi ya solar, nachaji simu, nk. Hayo yote ni kwa panel 2 zenye kutoa watts 200 kwa jumla. Nina inverter ya watts 600 na charger ya amps 20. Nina battery moja tu ya maji Amph 100. Sijawahi kujuta au kukosa umeme tangu niweke solar hii mwaka 1 uliopita. Kama unataka kuwa na friji na feni napendekeza uifanye iwe na uwezo mara 2 hivi ya hii ya kwangu.

Nunua panels za watts 400, solar charger amps 30, inverter watts 1000 na battery 3 kila moja Amph 100. Hii system utaweza kupampu maji kutoka kwenye kisima pia na kweli utakuwa huru na Tanesco.

Usinunu battery zile wanaita dry battery kwani sio nzuri kama za maji (uzoefu wangu). Utakapoweka panel zako ziwe pasipo na kivuli na mwelekeo wake kama ni juu ya bati basi ziwekwe on flat surface, kama unaweza jenga mnara mfupi ardhini weka panel juu yake inategemea na usalama uliopo, fanya mnara huo uwe rotatable yaani unaweza kuuzungusha kufuata mwelekeo wa jua na hapo utaongeza ufanishi ya system yako kwa 30%. Enyoy.
Mkuu inawezeka kufanya wiring mbili kwa wakati mmoja kwa maana ya umeme wa tanesco kivyake na wa solar kivya(Njia), maana yangu ni kwamba endapo umeme wa Tanesco umekatia/huitaji kutumia - unafanya matumizi kwa njia ya solar..
 
Back
Top Bottom