Harakati za kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia ni jukumu letu sote

Baraka Justice

New Member
Mar 11, 2019
1
0
Ndugu wana Jf napenda kuwaasa juu ya swala la kupambana na kutokomeza swala ukatili wa kijinsia ikiwemo ukekektaji na ndoa za utotoni, kuwa ni jukumu la kila Mtanzania. Vitendo hivi hufanywa hasa na jamii za Wamasai, Wakisii na wakurya wa Mkoani mara ambao hufanya swala hili kwa kiasi kikubwa sana. Kabila la Wakurya lenye koo 13 zote hufanya ukatili huu hasa ukeketaji kwa watoto wa kike kwa kipindi tofauti. Ukeketaji huu hufanyika kwa kukata na kuondoa sehemu ya ndani ya uke (kinembe) wakiwa na maana kwamba sasa binti huyu aliyefanyiwa hivyo amekuwa tayari wa kuweza kulea familia jambo ambalo huwafanya mabinti wengi mkoani Mara kuachishwa masomo na kuolewa wakiwa chini ya umri (18).Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom