Kwa kipindi Kama hiki, kunahitajika ubunifu wa hali ya juu katika kupata vyanzo vya mapato ili kuongezea serikali yetu mapato ili iweze kuendesha shughuli za serikali Kwa ufanisi zaidi, hivyo...
Ni katika kujua tu, kwa anae fahamu naomba anijibu, Serikali ya Morocco ni tajiri kiasi gani hadi watujengee uwanja, je kwao ki miundo mbinu kama hiyo wako vizuri sana ? Je kuna malipo...
Habari za hapa WanaJukwaa.
Leo niko safarini toka Dat kwenda Kahama. Nilinunua tiketi ktk gari ya Kisbo...
#1. Kwa mujibu wa ratiba ilikuwa tuondoke saa 12 kamili..... Hadi saa moja bado...
Millard Ayo ni moja kati ya vijana ambao wamefanya mapinduzi makubwa katika tasnia ya utangazaji na kuripoti habari mbali mbali mitandanoni hasa katika kampuni yake binafsi ya Ayo tv, Blog, kijana...
Naukumbuka sana Ugali wa Mzee Shedi baada baada kuutafuna viziri na maharage yenye funza jioni, unaondoka mdogomdogo kuelekea ng'ambo kusoma. Kama kawaida asubuhi ukichelewa morning paredi...
Habari ya mda huu Wanajukwaa
Kama kichwa kilivyo
Leo nitajaribu kuja na baadhi ya mambo ninayoyafahamu kuhusu Roho huenda unayajua pia ama ndio itakuwa mara ya kwanza pengine pia unayajua zaidi...
ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KUFANYA MEDITATION.
1. Meditation inasaidia kutengeneza furaha ya ndani.
Tunaposema furaha ya ndani tunamaanisha nini? Ni furaha unayotembea nayo wakati wote, ni furaha...
Mkurugenzi wa Namaingo Biubwa Ibrahim (kushoto), akitoa maelezo ya mradi wa shamba la Mikorosho kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Gulamhusein Shabankief (aliyevaa shati la mikono mirefu) na Mbunge wa...
Wakati tunasubiri nchi kunyooshwa na
Raisi na kusubiria ntantalila za ccm ... Nawashauri vijana wenzangu na wazee kuwekeza kwenye uwekezaji huu wa mitiki...
Ingieni mtafute maarifa ya huu...
Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ameagiza kuvunjwa kwa mabaraza ya ardhi ya kata tatu ndani ya saa 24, kutokana na kulalamikiwa na wananchi kuhujumu haki za wananchi...
Hivi karibuni kumeibuka uanzishaji wa hosteli bubu ,yaani hazujasajiliwa.ni hatua gani za kufuata ili ziweze kupata usajili kiserikali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanafunzi wa Chuo cha Ualimu Tukuyu Mwaka wa Tatu aitwaye Samwel James Chacha (25) amekufa maji akiwa anaogelea kwenye Mto Kiwira uliopo Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya.
Tukio hilo lilitokea...
Kuna nini nguvu kubwa hivi kuzuia hata wataalamu na waathirika wenye homa ya matumbo kwa maji machafu toka mamlaka ya maji . Polisi, mkuu wa mkoa, watendaji hadi wanatishia wananchi. Nini...
#usiishienjiani leo: Unajisikiaje Unapoifanya Kazi Yako?
Ni muhimu sana uweze kujisikiliza na kutambua moyo wako unakwambia nini.
Moja ya vitu ambavyo tunakwama ni kushindwa kujisikiliza sisi...
Sasa nimeamini rasmi kuwa kumbe hapa duniani Wanadamu hatufanani kwa mambo mengi tu ambapo unaweza ukadhani una mawazo sawa na Mwenzako juu ya Jambo fulani kumbe ikaja kuwa ni hali tofauti kabisa...
kwanza kabisa niwaombe radhi ambao nitawakwanza kutokana na imani zao lakini pia niseme kutokufahamu ama kukutana na jambo fulani haiondoi uhalisia wa uwepo wa jambo husika.
Nirudi kwenye mada...
Hebu kuweni ' Fair ' basi acheni sana ' Double Standards ' na hapa tusiwe ' Wanafiki ' kama ni Umaarufu kati ya Ruge na Kibonde nina uhakika tena wa 100% kuwa Marehemu Kibonde ndiyo alikuwa...
Hata UDSM kwenye elimu ngumu watu hawafeli hivi.
Yani darasa la watu 120 wanafaulu chini ya hamsini!
Sasa mkinyima watu leseni dizaini hii, mnataka watu wakaendeshe nyungo ambazo hazihitaji...
*Kununua madege sio solution ya kurahisisha maisha ya wanaoitwa wanyonge,hawa jamaa wana madege sio vipangaboi
*Ma flyovers na matreni ya umeme sio solution ya wanyonge wasio na...