NIT, hii sasa sifa! Mnanyima watu leseni za magari, wakaendeshe nyungo?

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Hata UDSM kwenye elimu ngumu watu hawafeli hivi.
Yani darasa la watu 120 wanafaulu chini ya hamsini!
Sasa mkinyima watu leseni dizaini hii, mnataka watu wakaendeshe nyungo ambazo hazihitaji leseni?
Kwenye picha inaonesha participants 85., ila walianza participants 120. Mchujo wa kwanza ukala vichwa. hawa walioingia final nao wameliwa vichwa kudadek!
Sasa mkianza kutoa mafunzo ya urubani atachomoka mtu kweli kama tu kwenye magari mnakula vichwa hivi!
IMG-20190309-WA0008.jpg
 
Kumbe UDSM ndo kuna elimu ngumu wajameni😨😨 haya maajabu ya tandawala kudadadeki
 
Barabarani sio sehemu za kupeleka frustration zako. Hili bandiko lako tu linadhihirisha namna yako ya kufikiri.
 
Yared Mulugeta Yule Rubani wa Ethiopia airline Mwaka huu 2019 alikuwa anatimiza Miaka 29 lakin kaanza kuendesha Madege Makubwa ya Abiria tangu 2008 ina maana akiwa Na Miaka 18

Hapa Kwetu Umri huo unajiandaa Na Mtihan wa Kidato Cha nne kuelelezea tofauti ya Fasihi andishi Na fasihi Simulizi

Madereva wakiongezaka barabarani wanasbabisha Shilingi yetu ishuke thamani
 
Back
Top Bottom