Tanzania na #Rwanda zinafanya mazungumzo ya kutumia ndege za Rwanda kusafirisha samaki kutoka Kanda ya Ziwa kwenda masoko mbalimbali duniani, hatua itakayofungua fursa kwa wafanyabiashara wa...
Wengi mnajua Tanzania imetoa Msaada kwa Msumbiji kufuatia kadhia ya mafuriko.
Mi nachojua charity begins at home..Ni kweli tumefikia hapo wakati watu wanadai pesa zao za korosho?
Hospitali zetu...
Wakuu Habari za muda huu
Jamani kama kuna mtu anaye fahamu jinsi ya kuangalia madeni ya trafic kupitia simu anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkazi wa kijiji cha ndachi mkoani Dodoma Bi Asha Juma anashutumiwa kwa kosa la kumchoma mwanae mikono kwa maji ya moto kwa kile kilichoelezwa ni udokozi wa nyama
Kaimu mganga mkuu kitengo cha...
Nimeona video inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huko nyumbani Tanzania, ikimuonesha Askari wa barabarani akimtukana matusi makubwa na kumpiga vibao dereva wa Lori la mizigo bila hata...
Wananchi wenye hasira kali katika kijiji cha Isanjandugu kilichopo Kata Nsimbo Wilayani Mpanda wameteketeza kwa moto nyumba mbili za wazee wa eneo hilo kwa tuhuma za ushirikina.
Tukio la...
Kampuni ya Airtel imempa shughuli za operations kwa kampuni ya Nokia kama miaka kadhaa sasa na huyo huyo Nokia anafanya pia operations za competitor wa Airtel ambaye ni Vodacom
Point yangu ni...
Sekretarieti ya ajira ni chombo muhimu sana katika upatikanaji wa haki katika michako ya ajira kwenye utumishi wa umma, kimepunguza udanganyifu na urasimu wa ajira kwa asilimia kubwa pamoja na...
MAHAKAMA Kuu Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo itaamua Kamishna Msaidizi wa Polisi, Abdallah Zombe na wenzake wanane wanyongwe au la. Jaji Salum Massati atatoa hukumu ya kesi ya mauaji...
Uhalibifu wa mazingira unaoambatana na ongezeko la ukataji wa miti, uchomaji wa makaa ya mawe, mkaa na mafuta jamii ya petrol kwenye magari, majenereta na mitambo ya kufua umeme (power stations)...
Habari za hivi punde kutoka radio ya clouds fm...
Mtangazaji Paul James ndio kapewa kuvaa viatu vya marehemu Ephraim Kibonde kwenye kipindi cha Jahazi.....hiyo inakamirisha hule utatu wao tena...
Mobile technology adds $2.5 billion to Tanzania economy, GSMA report
Tanzania’s mobile industry is contributing significantly to the realization of the country’s economic and development goals...
MAHAKAMA ya hakimu mkazi Arusha leo imehairisha kusoma hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mkuu wa wilaya mstaafu nchini,Dahn Makanga dhidi ya Mathew Mollel ambaye ni mkazi wa jijini Arusha.
Hukumu...
Mtoto ALEX FREDRICK SANGA, mwaka mmoja na miezi saba, mkazi wa mapinduzi alikutwa amefariki dunia kwenye korongo lenye maji ambalo lipo jirani na nyumbani kwao
Tukio limetokea mnamo tarehe...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limefunga kamera maalumu kwa lengo la kutambua magari yanayodaiwa kutokana na Makosa ya usalama barabarani.
Akiongea na vyombo vya habari Kamanda mpya wa jeshi la...
Nimehuzunishwa sana sana nikiwa kama Mtanzania kuona nembo yangu inayo iwakilisha Taifa ikitumika kwenye matumizi yasiyo sahihi, naomba mamlaka husika waichukulie hatua za kinidhamu hii kampuni...
SOKO kuu la madini ya dhahabu mkoani Geita limeelezwa kuwa na uwezo wa kuwahudumia wafanyabiashara wa madini ya dhahabu wa ndani na kutoka nchi zingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Hayo...
Wakuu za asubuhi !
Wadau mimi binafsi ninaona ipo possibility kubwa ya kuja kuifreez account ya kumchangia Tundu Lissu kwa maagizo kutoka juu ! Je mnadhani hilo linawezakana kufanyika? Nini...
Leo mida ya jioni, mishale ya saa mbili usiku nimewasha simu baada ya kuwa imezima chaji tangu mchana.
Nimewasha simu nashangaa inaingia meseji ya TigoPesa kwamba nimefanikiwa kutuma pesa kiasi...
Wakuu,vifo vingi ukichunguza kiundan,ni uzembe wa hali ya juu,sana sana hivi vi-dispensary mitaani vinaua sana watu kwa utatibu mbovu.
Mtu unampima sukari imefika 24 unamruhusu aende home afanye...