ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 8,556
- 2,000
Licha ya dunia kupiga hatua kwenye technology na kuwa na wataalam wengi wa genetics,madaktari nk lakini bado watu wanazidi kukumbwa na matatizo ya kisukari na pressure na kupeleka vifo vingi
So nafikiri madaktari mnapaswa mjifikirie Kama mna wajibu wa kuangalia afya za watu mnatakiwa mpige hatua ifike kipindi watu wasiende hospital kumeza dawa badala yake nguvu nyingi muelekeze kwenye kuzuia matatizo hayo kwani vyanzo vyake vinafahamika.tumieni akili zenu na ujuzi mwingine kugundua njia na Mambo ambayo watu waki practice yanaondoa vyanzo vya matatizo hayo na sio kutumezesha madawa wakati watu ndo kwanza wanazidi kuumwa na kufa.