Ushauri

Ushauri

MR.NOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
339
Reaction score
512
Katika kipindi hiki ambapo Serikali yetu inapambana kuhakikisha wahitimu wa vyuo walionufaika na mikopo wanalipa madeni yao hata kidogokidogo.Nashauri serikali kuwapa kipaumbele kwenye ajira wahitimu waliofanikiwa kulipa deni lote/ walioanza kulipa kwa juhudi zao wenyewe na wanaelekea kumaliza.Nini maoni yako katika hili
 
Aliyenacho aongezewe??

Kama ameweza kulipa mkopo Huyo tayari anacho kitu
 
Back
Top Bottom