REPOA na ---- barometer walitoa matokeo ya utafiti wao kuhusu hali ya uchumi nchi. But something is confusing to the followers of their research findings. They were supposed to say clearly...
VIONGOZI wa dini nchini wamempongeza Rais John Magufuli na serikali ya awamu ya tano kwa kuwasaidia waathirika wa mafuriko katika nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe. Wamesema tunu ya amani na...
KIKUNDI cha Vicoba cha Upendo chenye masikani yake huko Kibugumo-Kigamboni jijini Dar kimejikuta katika sintofahamu kufuatia mweka hazina wake aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Bakari kutoweka na...
SERIKALI ya China kwa kushirikiana na Afrika Kusini, zimetoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha marubani nchini, ikiwa ni juhudi za kumuunga mkono Rais John Magufuli. Kauli...
Natumai mu wazima wa afya na poleni kwa miangaiko ya kila siku.Niende moja kwa moja kwenye mada
Kuna application moja inahusu mobile tracking nimeinstall kwenye simu yangu kwaaajili ya kutrack...
Kijana huyu Abdul Mahmoud Omar Athuman Kagobe, (Abdu Nondo) ni mjukuu wa Omar Athuman Kagobe, ambaye ni veteran wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1914 – 1918), na baadae alijiunga na Jeshi la Polisi...
Huko mjini Paris, Ufaransa kuna mkutano mkubwa wa climate change" ambapo marais wote wa Afrika wamedhuria kwa gharama zao wenyewe isipokuwa Magufuli wetu tu ambaye ametuma mwakilishi ili kuokoa...
Kimbunga kilichoanza kujijenga katikati ya bahari ya India baada ya kimbunga Idai kupita kimepewa jina; kwa sasa kinajulikana kama Savanna cyclone.
Savanna bado hakijaanza kutembea, lakini...
Ibrahim Hassan (7) amefariki dunia baada ya kukanyagwa jana na mashabiki waliojitokeza kuangalia mpira uwanja wa Taifa, baada ya vurugu kutokea katika geti la kuingilia uwanjani hapo.
Baba mzazi...
Huu ni uchochezi kama uchochezi mwingine. Nashauri jeshi la Polisi lichukue hatua kwa wachochezi hao!
Huku ni sawa na kumuita Rais kila.za. CV ya Rais inaonyesha kuwa ana Phd na lugha ya...
Habarini wana jf
Yapata miezi 17 tangu baba yangu afukuzwe kazi (mambo ya vyeti feki)
Tangu muda uwo tumekuwa hatuna maelewano mazuri, nikiwa namuelezea kuhusu mambo na miradi mikubwa...
Moshi. Watu wawili wanaodaiwa kuwa vibaka, wamevamia kwenye wodi namba moja katika Hospitali ya Kilimanjaro CRCT mjini Moshi na kuiba vitu mbalimbali ikiwemo simu za mkononi na fedha taslimu...
Mimi ni mtumiaji wa haya mabasi kutoka Makumbusho mpaka Kibamba shule.Haya mabasi yakifika Mbezi mwisho ni kama yanafika mwisho wa safari. Hujipanga foleni na kuanza kujaza abiria na wewe ulietoka...
Takribani miezi mitano iliyopita aliibuka kijana anaitwa Mzalendo alitamba na kibao chake cha HipHop kinaitwa "Nasogea Goligota" alipata umaarufu sana baada ya kusikika mistari akimchana jiwe bila...
Siku ya ijumaa nilinunua umeme kwa njia ya simu kwa kubonyeza *150*78# umeme ulikuwa wa shilingi laki moja, nilipata bahati ya kupata SMS kuwa kuna tatizo la mtandao hivyo nitatumiwa tokeni kwenye...
Dar es Salaam. Benki ya Dunia (WB) imeishauri Tanzania kufanya mambo manne ili kutimiza azma yake ya kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.
Akizungumza katika semina iliyoandaliwa na WB...
Hali ya sintofahamu yazuka baada ya website ya bodi ya mikopo kuhackiwa na watu wajiitao TANZANIA HACKERS na kuanza kupost mambo yasiyohusiana na taarifa za mikopo..
.maneno yanayosomeka kwenye...
Inawezekana uzi huu umeshapita hapa, Lakini naomba wanaJF kwa anayejua walipo maafande hawa waliowahi kuwahapa Arusha miaka ya nyuma:
Afande Sajent Mwambungu
Saba Sita...
Wakulima kwa kushirikiana na wauzaji wa Pembejeo nchini wamehimizwa kupata elimu ya kutosha juu ya viwatilifu na matumizi yake ili kuepuka kutengeneza sumu kwenye mazao zinazoweza kusababisha...
habari wakuu ...nimewaza kidogo kwa upeo wangu finyu wa kufikiri...hivi katika zoezi la kujisajili kujiunga na benki yeyote hapa tanzania ...huwa tunajaza taarifa za (next of kin) mtu wa karibu wa...