Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nyuki ni viumbe huru wanaoishi katika Mazingira yetu. Nyuki hawahitaji kulishwa bali hujitafutia chakula chao na maji wao wenyewe, na wamekuwapomiaka mingi duniani bila kutegemea msaada wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali imesema itarudisha kodi ya wanaoagiza taulo za kike endapo hawatashusha bei. Hatua hiyo imefikiwa kutokana na wauzaji na wasambazaji wa taulo hizo kushindwa kupunguza bei zake...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Niliwahi kusikia wanafunzi huko masekondari zamani walikuwa wanaonaga wanyama flani kama binaadamu kama mashetani sasa naomba mwnye kuwafahamu au mwenye picha ya hao vibwengu aitupie eti hata...
0 Reactions
122 Replies
37K Views
Mfano tungekua na 'chlorophyll' kwenye ngozi kama majani ya mimea na hivyo tuzalishe chakula chetu wenyewe ndani kwa ndani kwa kutumia nguvu ya jua yaanu 'photosynthesis', ambapo tunaunganisha Co2...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Taarifa hii ni kwa mujibu wa tovuti ya 'The East African' imeelezwa kuwa taasisi ya Wagonjwa wa Saratani ya Ocean Road ilitoa taarifa za tishio la kuisha kwa dawa hizo tangu 2018 Mmoja wa maafisa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wote tunajua ukitoa pesa za chenji kwa kwa muuza duka kwa lengo la kumsaidia asipate shida kwa wateja. Muuza duka lazima atoa pesa ya noti yenye thamani sawa na chenji alizopewa. Namaanisha mh...
1 Reactions
1 Replies
971 Views
Nimeona baadhi ya wanaharakati wakifurahi kuwa eti wameibwaga Serikali kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) kuhusu Sheria ya Huduma za Habari ya Tanzania. Kwa ufupi ukiisoma hukumu yote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukiwa ndani ya dini huwezi kuelewa hiki nachokisema maana dini inahimiza kuamini(kukubali jambo lolote unaloambiwa bila kujali uhalisia wake, wewe unatakiwa tu kuamini) Dini imekuwepo miaka na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu! Mimi ni Yule kijana niliyewahi kuleta Uzi wa kupona Hepatitis B. Ukiusoma ule Uzi wangu utaelewa maisha yangu vizuri kwani niliandika ukweli mtupu. Mungu amenisaidia nimefika...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Weekend iliyopita nilikuwa mji wa madini - Kahama kwa issue binafsi. Moja ya redio zinazosikika huko ni redio.moja ya dini iitwayo DIVINE FM. Sasa redio hiyo ina mwakilishi wake wa masuala ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo Vatican imetangaza rasmi kwamba Papa Francis atembelea nchi tatu za Afrika Mashariki. Ziara hiyo itafanyika Septemba mwaka huu na nchi atakazotembelea ni Mozambique, Madagascar na Mauritius...
4 Reactions
55 Replies
9K Views
MKURUGENZI Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Tanzania, Michael Dunford, amesema asilimia 35 ya watoto walio chini ya miaka mitano wamedumaa kutokana na kukosa lishe bora hali inayochangiwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepata ili wazo kutokana na uhaba mkubwa na mahitaji makubwa ya kuku wa kienyeji. Wazo langu ili nimewaza tofauti kidogo sitafuga,sitotoreshi,wala sitazarisha kuku.. Nimefikiria kununua kuku...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau wa JF naona mko poa. Mada ni kama inavyoonekana hapo juu. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hii kitu. Kuna kipindi flani nilifumania vipesa flani mahali nikaangalia fasta fasta kitu gani naweza...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Toka Serikali ya awamu ya tano ya Mh Rais Magufuli imeingia madarakani November mwaka 2015 tunaona mambo mengi yakifanyika hasa miradi mikubwa ambayo inazalisha ajira lukuki kwa watanzania lakin...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari kutoka Magazetini Leo. Sina access na gazeti hili na namna ya kuileta habari kamili humu ndani. Najua wajuvi wataileta. Ila najiuliza hawa mafisadi wawili ni kina nani haswa. Kila kona ya...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Karibu watanzania wenzangu tujadili swala la waganga wa jadi kuwepo kwao Na madhara ya kutokuwepo kwao. Lengo kuu la Uzi huu ni kusoma nyakati kwa nini Tanzania kama ikafuta Na kupiga marufuku...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ngazi wilayani Lushoto, akiwa katika ziara ya kazi, leo Machi 28, 2019. Naibu Waziri amesisitiza kuwa gharama za...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Serikali imepiga marufuka kazi ya kuchimba udongo wa kutengeneza majiko ya mkaa katika eneo la milima ya Mabumbani mtaa wa Tambukareli jijini Mwanza baada ya mchimbaji mmoja, Ndawala Ndobo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi serikali iko wapi? kwanini tunapinga mikataba feki lakini bado inaendelea kuexist ndani ya nchi hii hii no ambapo tulipata habari kuwa baadhi ya ving'amuzi kuwa vimeamua kufungia baadhi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…