Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Closed
Baada ya kuwepo kwa joto kali maeneo ya Kilimanjaro hususani Moshi mjin,Muda huu mvua kubwa ya mawe inanyesha vikiambata na upepo mkali, Nitazidi kuwapa updates nini kinachoendelea,na kama kuna...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Maalim Seif ni mahaba Na Ahmed Rajab KUNA aina ya mapenzi, aina ya mahaba, ambayo ni taabu kuyaelezea. Ni mahaba yenye kutia wazimu kama yale ya Layla na Majnun, wapenzi waliotungiwa mashairi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijui watu wa aina hii wanajisikiaje wanapojitambulisha kuwa na elimu kubwa kama Phd, Uprofesa, Uinjinia na ubobevu katika masuala fulani halafu kiutendaji, uelewa wa mambo, busara, hekima na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
KIJANA kutoka Kata ya Nanguruwe Mtwara Vijijini, ambaye amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuishi na jinsi tata kwa miaka 23, ameanza kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenye uzoefu na hiki king'amuzi naombeni uzoeafu. Je local channel zinapatikana bila kulipi? Vifurishi vyake viko poa kwa maana ya kumudu mtu yeyote? Mawimbi yake je?
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Mie namkumbuka Mwl Christopher Malamsha teacher wa hesabu na program yake ya kitimoto madarasa yote mnaungana mnawekwa darasa moja linaandikwa swali la hesabu ubaoni anapoint mmoja akalifanye,sasa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
BAADA ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kulifungua rasmi Soko Kuu la Dhahabu mkoani Geita siku 10 zilizopita, imeelezwa kuwa mwitikio wa wachimbaji wadogo wanao ka kuuza madini yao katika soko hilo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba kufahamishwa ili wikipedia wakuandike lazima uwe na vigezo gani?yaani criteria gani wanaziangalia na itabidi ufuate process gani?kwa mfano Mimi nina knowledge yangu nimeibuni nataka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanazengo pesa imeyeyuka? Najiuliza funga hii mbona imekua ya kimya sana zile shamra shamra za wasanii, na makampuni mbalimbali nchini za kufuturisha na kutoa vyakula sehemu mbali mbali, za vituo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilikuwa najuwa kazi kubwa na muhimu ya serikali kuhakikisha usalama wa raiha wake na mali zao. Lakini kazi hii sijuwi ni kwamba haina mwenyewe au watu wanategeana. Ni lini uwizi wa vipuli vya...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Binadamu tumeumbwa kutambua ama kuhisi vitu katika milango mitano ya fahamu ila tambua kila mwili wa binadamu aliehai anamilango,zaidi ya mitano ya fahamu Mlango wa fahamu wa kiroho:huu ni...
21 Reactions
119 Replies
31K Views
one week kabla walisema wingu limeenda south Africa kutokana na kimbunga savannah, hivyo mvua zitakua chache sana mwaka huu. Leo wamekuja na taarifa eti kutakuwa na mvua kubwa sana kwa week...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwaka 2006 waganda walikuja na idea kama hii kwa Rais Museven, mwanzo ilikuwa ignored ila wakati wa uchaguzi mkuu ikawa bonge la dili na mzee akatoboa. Project iliitwa Another Rap, sisi km Cwu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Unazidi Utajiri wa Sultan wa Brunei 90 euro kila sekunde sultan wa brunei Mohammad hassan Bolkiah raisi tajiri kuliko maraisi wote duniani, Maarufu kwa utumiaji wa dhahabu kwa kila kitu...
0 Reactions
194 Replies
51K Views
Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amesema wananchi waliopisha mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme katika Kijiji cha Kidahwe wilayani Kigoma, watalipwa fidia kabla ya ujenzi kuanza...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Nilikua safarini kikazi Babati mkoani Manyara, nikaja kukutana na bint ambaye pindi nikiwa pale, tuliweza kuwa pamoja kama wapenzi Siku ya kwanza katika mazungumzo yetu ya awali, nilihitaji...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Nilikua huko instagram kwenye page ya idhaa ya Kiswahili ya Deustche Welle (DW). Nilichokiona ni aibu. Aibu sana kwa watu wa taifa hili. Nimehuzunika sana. Watanzania sisi ni wajinga kwa kiwango...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
TANESCO INAPENDA KUKUJULISHA KUWA KUTOKANA NA CHANGAMOTO ZAKUCHELEWA KUWASILI KWA VIFAA KWA WATEJA WALIOLIPIA NGUZO MWEZI WA 11, 12, 1, 2 & 3 TUTAWAJULISHA ZITAKAPOWASILI. SAMAHANI KWA USUMBUFU...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Siku hizi najitahidi kushare mambo mawili matatu kila ninapopata nafasi ili kama kuna hata mmoja atajifunza kitu kutokana na nilichoandika naona nitakuwa nimefanikiwa. Najua kejeli hazitakosekana...
0 Reactions
3 Replies
859 Views
TANZANIA inaongoza kwa kuwa na tozo zenye gharama nafuu kwenye matumizi ya data pamoja na maudhui katika Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), imeelezwa. Hali hiyo inatokana na uwepo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…