Wale wa Arusha Day 2000-2002 tukumbushane tabia za walimu

Wale wa Arusha Day 2000-2002 tukumbushane tabia za walimu

ngaleloo

New Member
Joined
Mar 26, 2019
Posts
1
Reaction score
2
Mie namkumbuka Mwl Christopher Malamsha teacher wa hesabu na program yake ya kitimoto madarasa yote mnaungana mnawekwa darasa moja linaandikwa swali la hesabu ubaoni anapoint mmoja akalifanye,sasa sisi tuliokuwa hatujui hesabu tulijuta kuwa na demu skuli,full aibu hujui hata swali uanzie wapi,kinachotokea ni ubao kulowa maji ya jasho la mikono.Ila sasa ndo natambua kufanya kwake hivyo kulivyotusaidia,Mungu akubariki ulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikajua mnakusanyana mfanye jambo kwa Shule yenu au waalimu.
Kweli mwalimu ni kama koleo/karai nchi hii ambaye hukumbukwa either kwa utani, vituko na mara chache wema wake.
Hata handshake tu mwalimu nchi hii mara chache kupata, afadhali private schools kidogo japo nako mazingira yanatifautiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania ha2naga kazi za kufanya, sasa itatusaidia nini? Ndio maana weupe wame2zidi evrythng.
 
Malam...my old buddy!...
Mr.makange..mama mmasi..gwandu.
Babu mapisi,alitutengenezea chai maziwa na mkate, R.I.P.
Back then in our old good days,mpinzani wetu alikuwa ilboru,sijui sasa.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Mimi wananifurahisha wametenga siku ya Arusha Day ambapo walimu wote husafiri pamoja na kwenda kula bata mara moja kwa mwaka ktk siku hiyo maalumu. Nasikia pia huko hujadili changamoto za shule yao.
 
Back
Top Bottom