Msaada:process ya kuandikwa kwenye Wikipedia

Msaada:process ya kuandikwa kwenye Wikipedia

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,400
Wakuu naomba kufahamishwa ili wikipedia wakuandike lazima uwe na vigezo gani?yaani criteria gani wanaziangalia na itabidi ufuate process gani?kwa mfano Mimi nina knowledge yangu nimeibuni nataka nifahamike kwa sababu naimani Ina impact kubwa sana.mwenye kujua hata office za wikipedia hapa dar es salaam ziko wapi anielekeze.
Natanguliza shukrani
 
Wazo zuri mkuu, unaweza kuiandika vizuri article yako, ukaiwekea na vithibitisho vyenye mashiko, ukiingia wikipedia kuna sehem kwenye maada yoyote wanakwambia uambatanishe maoni yako, ukiiweka article yako hapo ndiyo mwanzo wa kuandikwa, vinginevyo jiunge na siasa, ufanye vituko utaandikwa na wengine, nasi tutakusoma wikipedia
 
Kuuliza zilipo ofisi za Wikipedia kwa hapa Dar es salaam nadhani ni sawa na kuulizia zilipo ofisi za Google hapa Tanzania
 
ofisi zao zipo makutano ya barabara ya nkurumah na sam Nujoma [emoji2]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wasiliana nami PM nikupe maelekezo uonane na jamaa yangu yeye ndo Country Manager wa Wikipedia hapa Tanzania.huwa ni gharama kubwa ila ntamwambia akulegezee bei sababu wewe ni ndugu yangu.

Mimi nipo nina page imejaa mambo mengi sana.nikitafutwa dunia nzima taarifa zangu wanapata.nione please...utafanyiwa bei ya kishkaji. Andaa tu picha na some cash
 
Wasiliana nami PM nikupe maelekezo uonane na jamaa yangu yeye ndo Country Manager wa Wikipedia hapa Tanzania.huwa ni gharama kubwa ila ntamwambia akulegezee bei sababu wewe ni ndugu yangu.

Mimi nipo nina page imejaa mambo mengi sana.nikitafuta dunian nzima taarifa zangu wanapata.nione please...
Kuna harufu ya bangi na utapeli hapa nahisi. Kwann usimuelekeze zilipo ofisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiliana nami PM nikupe maelekezo uonane na jamaa yangu yeye ndo Country Manager wa Wikipedia hapa Tanzania.huwa ni gharama kubwa ila ntamwambia akulegezee bei sababu wewe ni ndugu yangu.

Mimi nipo nina page imejaa mambo mengi sana.nikitafuta dunian nzima taarifa zangu wanapata.nione please...
Naku pm mkuu
 
Back
Top Bottom