Tanesco hawana nguzo toka nov 2018

Tanesco hawana nguzo toka nov 2018

Kaziutumishi

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2018
Posts
325
Reaction score
385
TANESCO INAPENDA KUKUJULISHA KUWA KUTOKANA NA CHANGAMOTO ZAKUCHELEWA KUWASILI KWA VIFAA KWA WATEJA WALIOLIPIA NGUZO MWEZI WA 11, 12, 1, 2 & 3 TUTAWAJULISHA ZITAKAPOWASILI.
SAMAHANI KWA USUMBUFU.

Unachukua hela wakati huna uwezo wa kutoa huduma, ukiitwa tapeli unaona unatukanwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida sio manager shida ni siasa mkuu just imagine unazalisha umeme cost of production per unit kwa kutumia mafuta ni 700+ gesi 150+ maji 60+ lakini mwananchi nauziwa sh 100 per unit unaweaje kupata profit hapo?umesahau Mramba alitumbuliwa kwa kutaka kuongeza bei ambayo ingeweza kubreakeven cost pf poduction
Haya serikali wanatumia umeme hawalipi hasa magereza jeshi wizara nk unategema kutoboa hapo?
Hili shirika sijui linaendeshwaji...shida ya kumpa engineer umanager hajui hata kurun entity kwa profit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shirika limeendeshwa kwa has ara kwa muda mref mno...
Kuna wadau walipendekeza wafanye unit 3 mpaka leo hakuna mwenye pumzi ya kuizungumzia. .... uzalishe mwenyew uuze mwenyew na usambaze mwenyewe....
Bado kuna matumizi makubwa kuliko mapato. ...hivi nani analipia REA ingali productions and operational costs ni kubwa kuliko mapato?
Bado kuna wananchi wanalipa umeme 2000 au elf 5 kutumia umeme mwezi mzima....
 
Kuna swali huwa najiuliza[emoji848]kama vyanzo vya umeme Tanzania ni maji inakuwaje mvua inaponyesha kuna kuwa na kukatika kwa umeme[emoji848]
 
Shinyanga kila siku danadana tu watu wameshalipia kila kitu Cha ajabu hata aibu hawana wanatumia wateja vimeseji vilivyopitwa na wakati utafkri kipindi wanalipa!walilipa hewa . Shirika Hilo NI jipu kubwa Tena la hatari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom