Mbona mimi hawa TMA siwaelewi?

Mbona mimi hawa TMA siwaelewi?

alliJAY4_four

Senior Member
Joined
May 4, 2017
Posts
173
Reaction score
95
one week kabla walisema wingu limeenda south Africa kutokana na kimbunga savannah, hivyo mvua zitakua chache sana mwaka huu.
Leo wamekuja na taarifa eti kutakuwa na mvua kubwa sana kwa week moja.....sasa mbona siwaelewi?? hii mvua kubwa inasababishwa na wingu gani wakati wamesema wingu la mvua kubwa halipo tena ukanda huu? au vipimo vyao ni vya kukurupuka?
 
Mie nawashangaa Pia

Walisema Mvua kubwa Sana zitanyesha kuanzia Nov- April non stop mpaka Mifereji ikaanza kuzibuliwa

Kimya kimepita wakaja Na tangazo kutakuja ukame wa hatare Mvua zikaanguka
Hahaa... Hawa jamaa utabiri wao kwenye mvua ni kama utabiri wa mfalme pele kwenye soka.. Pele akitabiri hivi mambo yanakuja vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni UTABIRI na sio lazima itokee. Ni mambo ya KUBAHATISHA TU ndio maana kila wakati wanakuja na kauli mpya. Achani kuwashangaa
one week kabla walisema wingu limeenda south Africa kutokana na kimbunga savannah, hivyo mvua zitakua chache sana mwaka huu.
Leo wamekuja na taarifa eti kutakuwa na mvua kubwa sana kwa week moja.....sasa mbona siwaelewi?? hii mvua kubwa inasababishwa na wingu gani wakati wamesema wingu la mvua kubwa halipo tena ukanda huu? au vipimo vyao ni vya kukurupuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni UTABIRI na sio lazima itokee. Ni mambo ya KUBAHATISHA TU ndio maana kila wakati wanakuja na kauli mpya. Achani kuwashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vyema na hiyo hata kwenye sera zao wamelifafanua na ndio maana kuna categories za utabiri

1.utabiri huu hufanywa siku tatu kabla ya tukio kutokea na huitwa utabiri wa "muda mfupi

2.huu ni utabiri ambao unatabiri matukio yatakayoweza kutokea siku kumi za mbeleni na utabiri huu huitwa utabiri wa muda wa kati

3. Huu ni utabiri unaotabiri miezi, mwaka nk utabiri huu huitwa "matazamio

Sent using unknown device
 
Hao si watabiri bari ni wakisiaji tu ujanja ujanja.

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
Huo ni UTABIRI na sio lazima itokee. Ni mambo ya KUBAHATISHA TU ndio maana kila wakati wanakuja na kauli mpya. Achani kuwashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mbona ni kwa TMA tuu? mbona nchi za watu kama norway wanaweza kutabiri uwezekano wa kutokea kwa tetemeko la ardhi??? hawako serious
 
one week kabla walisema wingu limeenda south Africa kutokana na kimbunga savannah, hivyo mvua zitakua chache sana mwaka huu.
Leo wamekuja na taarifa eti kutakuwa na mvua kubwa sana kwa week moja.....sasa mbona siwaelewi?? hii mvua kubwa inasababishwa na wingu gani wakati wamesema wingu la mvua kubwa halipo tena ukanda huu? au vipimo vyao ni vya kukurupuka?
wingu limelewa savana za kutosha....hili wingu labda la kike limepigwa savana limelainika limeamua kurudi magetoni
 
Itakuwa wingu limerudi,na litadumu kwa wiki moja ndo hizo mvua walizozisema sasa....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mwenzenu mimi kila nikitaka kucheka huwa najaribu kufuatilia mamlaka za Tanzania
 
one week kabla walisema wingu limeenda south Africa kutokana na kimbunga savannah, hivyo mvua zitakua chache sana mwaka huu.
Leo wamekuja na taarifa eti kutakuwa na mvua kubwa sana kwa week moja.....sasa mbona siwaelewi?? hii mvua kubwa inasababishwa na wingu gani wakati wamesema wingu la mvua kubwa halipo tena ukanda huu? au vipimo vyao ni vya kukurupuka?
Ndege imeenda Kenya ikarudi na wingu mkuu, yaani ujue utabiri wa TMA huwa unakuwa kinyumenyume, wakitabiri mvua wewe anza kufyatua tofali maana mvua haitakuwepo, ukiskia wametabiri ukame ondoka mabondeni maana hayo ni mafuriko wamemaanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom