Je unafanya mazoezi kupunguzwa uzito? Wanasayansi wanasema achana na hiyo kazi unapoteza muda wako bure.

Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,461
2,000
Je wewe ni muumini wa mazoezi katika kupunguza uzito au unene uliopitiliza?(mimi sio), basi unashauriwa kuachana na huo utaratibu maana unakula muda wako bure, unashauriwa kuangalia chakula chako unachokula zaidi.

Pamoja na kua ni wataalam wa miili ya binadam wanashauri zaidi aina ya mlo unaokula ndio uangaliwe zaidi, ni jambo la akili ya kawaida kabisa(common sense) kua kilichokufanya uongezeke uzito mdicho kitakusababisha upungue uzito, kama umeongezeka uzito kwa sababu ya kufanya mazoezi, basi punguza mazoezi ili upungue, hvyo hvyo kama chakula ndio kimekufanya uongezeke hxito basi punguza chakula upungue, just common sense.

Utafiti huo umechapishwa katika jarida la British Journal of medicine and sports.
Exercise Can't Save Us: Our Sugar Intake Is The Real Culprit, Say Experts

Ni jambo la kawaida la kuelewa kua chakula kinafanya mwili ufanye shughuli zake, chakula kilichozidi mwilini hua mwili unakibadili kua mafurta kwa ajili ya siku za mbele imitokea upungufu kiweze kutumika. Kama chakula unachokula kinatumika chote mwilini basi sio rahisi uongezeke uzito kupitiliza.

Mwaka flani nilikua nimeongezeka sama uzito, watu wakawa wananishauri nifanye mazoezi huku blindly wakisahau kunishauri kuangalia chakula, nikafanya kama mwezi, nikitoka mazoezini nakula kama kawaida, sikuona matokeo, ikabidi nijiongeze kwenye chakula, nikapunguza food intake yangu kwa almost 50%, mwezi mmoja tu kila mtu akaniuliza nimefanyaje.

Lose weight in the kitchen and get fit amd inshape in the gym.
 
Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
5,965
2,000
Nahis hujampata vizur apo,

Advice ni kuwa unatakiwa kupunguza amount ya chakula, na sio kubadili aina ya chakula.

Kura kiduchu kabisa alafu sukumia na maji mengiiii.

Pagumu hapo, mtihani ni kuwa wanene huwa appetite zenu zipo juu sasa, sidhan kma utaweza kukubali kanjaa kakupige na huku ndan chakula kimejaa.
"You Are What You Eat"...ila wengine hata tusipokula hizo junk food bado tuna nenepa jomoniiinina mpango wa kula pumba tuu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,687
2,000
Je wewe ni muumini wa mazoezi katika kupunguza uzito au unene uliopitiliza?(mimi sio), basi unashauriwa kuachana na huo utaratibu maana unakula muda wako bure, unashauriwa kuangalia chakula chako unachokula zaidi.

Pamoja na kua ni wataalam wa miili ya binadam wanashauri zaidi aina ya mlo unaokula ndio uangaliwe zaidi, ni jambo la akili ya kawaida kabisa(common sense) kua kilichokufanya uongezeke uzito mdicho kitakusababisha upungue uzito, kama umeongezeka uzito kwa sababu ya kufanya mazoezi, basi punguza mazoezi ili upungue, hvyo hvyo kama chakula ndio kimekufanya uongezeke hxito basi punguza chakula upungue, just common sense.

Utafiti huo umechapishwa katika jarida la British Journal of medicine and sports.
Exercise Can't Save Us: Our Sugar Intake Is The Real Culprit, Say Experts

Ni jambo la kawaida la kuelewa kua chakula kinafanya mwili ufanye shughuli zake, chakula kilichozidi mwilini hua mwili unakibadili kua mafurta kwa ajili ya siku za mbele imitokea upungufu kiweze kutumika. Kama chakula unachokula kinatumika chote mwilini basi sio rahisi uongezeke uzito kupitiliza.

Mwaka flani nilikua nimeongezeka sama uzito, watu wakawa wananishauri nifanye mazoezi huku blindly wakisahau kunishauri kuangalia chakula, nikafanya kama mwezi, nikitoka mazoezini nakula kama kawaida, sikuona matokeo, ikabidi nijiongeze kwenye chakula, nikapunguza food intake yangu kwa almost 50%, mwezi mmoja tu kila mtu akaniuliza nimefanyaje.

Lose weight in the kitchen and get fit amd inshape in the gym.
Ila mazoezi ni zaidi ya kupunguza uzito,
Mazoezi yanasaidia kuimarisha moyo uwezi kuimarisha moyo kwa kula!!!
Kwenye mazoezi unatoa jasho,uchafu nje ya mwili,
Jasho haliwezi kutoka kwa kula!!
Hata ule dona gumu kama chuma na maharagwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
17,386
2,000
Nahis hujampata vizur apo,

Advice ni kuwa unatakiwa kupunguza amount ya chakula, na sio kubadili aina ya chakula.

Kura kiduchu kabisa alafu asukumia na maji mengiiii.

Pagumu hapo, mtihani ni kuwa wanene huwa appetite zenu zipo juu sasa, sidhan kma utaweza kukubali kanjaa kakupige na huku ndan chakula kimejaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuelewa vzr tuu chief,.hapo nimejiongelea mimi kupitia alichosema yeye juu ya hizo mambo..
 
Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,134
2,000
Niko kwenye hiyo campain sili chakula cha wanga labda kwa kias kidogo nakula matunda sana, nyama mayai na mbogamboga kwa mwanzo inasumbua ukianza utaona mabadiliko mwenyw
 
Sang'udi

JF-Expert Member
May 16, 2016
2,520
2,000
Ila mazoezi yana nafasi yake katika kupunguza uzito maana yanachoma fats. Ninakuunga mkono lia kupunguza intake ya chakula, hasa vyenye sukari nyingi.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,288
2,000
Nahis hujampata vizur apo,

Advice ni kuwa unatakiwa kupunguza amount ya chakula, na sio kubadili aina ya chakula.

Kura kiduchu kabisa alafu asukumia na maji mengiiii.

Pagumu hapo, mtihani ni kuwa wanene huwa appetite zenu zipo juu sasa, sidhan kma utaweza kukubali kanjaa kakupige na huku ndan chakula kimejaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza badili aina ya chakula pia.

Achana na vyakula vya sukari na carbohydrates.

Replace na mbogamboga, protein na matunda.

Matokeo utayaona pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom