Mlio wa simu umeniponza , chupu chupu nyoka anidake

Mlio wa simu umeniponza , chupu chupu nyoka anidake

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Umakini unahitajika namna ya kuchagua aina ya muito wa simu. Hata ukizingatia mazingira unayofanyia kazi ; hasahasa maeneo ya porini au mashambani.

Mm naupendaga sana muito wa " chura ".

Wakati nafanya kazi zangu shambani. Nikapigiwa cm , sikuipokea kama mara tatu hivi. Kumbe ule muito wa simu nyoka aliusikia bhana.Yeye akajua ni chura analia.

Ghafla huyu hapa. Kachachamaa kweli.

Nikajihami na fimbo akasepa zake.

Nikazima simu na kuondoka zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai ya moto halafu ina tangawizi
 
Mkuu hii chai ya jioni ongeza sukari na tangawizi ikiwezekana changanyia na magadi kwa mbali na tui la Nazi nusu kikombe,then ilete hapa kwa wananzengo,nadhani tumeelewana.🤕🤕🤕
 
Mkuu nyoka wengi kwanza hawasikii sauti wanaotumia upande wa tumbo ku detect movement ya kitu pamoja na harufu sasa sina uhakika kama simu yako ilikuwa chini Ardhini hiyo Moja. Mbili,. Simu yako ina harufu ya chura? Vipi muundo wake unafanana na umbo la chura?
Umakini unahitajika namna ya kuchagua aina ya muito wa simu. Hata ukizingatia mazingira unayofanyia kazi ; hasahasa maeneo ya porini au mashambani.

Mm naupendaga sana muito wa " chura ".

Wakati nafanya kazi zangu shambani. Nikapigiwa cm , sikuipokea kama mara tatu hivi. Kumbe ule muito wa simu nyoka aliusikia bhana.Yeye akajua ni chura analia.

Ghafla huyu hapa. Kachachamaa kweli.

Nikajihami na fimbo akasepa zake.

Nikazima simu na kuondoka zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mi pia kuna kipindi niliweka mlio wa nyau watoto simu ikaita karibu na nyau mkubwa jike aisee alinikimbiza nusu kuniparura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nyoka wengi kwanza hawasikii sauti wanaotumia upande wa tumbo ku detect movement ya kitu pamoja na harufu sasa sina uhakika kama simu yako ilikuwa chini Ardhini hiyo Moja. Mbili,. Simu yako ina harufu ya chura? Vipi muundo wake unafanana na umbo la chura?

Sent using Jamii Forums mobile app
PrinceLee umejibu vizuri hili rungu ngoja tuliosomea nyoka yaani herpentologists tukusaidie.Nyoka huwa hasikii yaani sense haipo.Sense alizonazo na smell na kudetect heat.Ananusa kutumia ulimi wake akiutoa nje sense inapelekwa kwenye olfactory lobes ndio anajua harufu.Pia sense ya heat anatumia ulimi wake.
Sense ingine aliyonayo ni kuona.
Wanaochezea nyoka kule India na usukumani nyoka ana swing sio kwamba anasikia filimbi unapompigia ila anakushangaa na hawezi kukuuma vile ametolewa meno.
Anayesema sauti ya chura ya simu yake alikimbizwa na nyoka hizo ni story za kunywa chai kijiweni bila sukari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyoka haoni kwa macho wala hasikii kwa masikio. Nyoka ana detect kitu kulingana na ujoto na kuna sense zile zinamwonyesha kitu hai chenye damu, movements. Hata upige zumali kama wanavyofanya wahindi, nyoka yeye anafuata movements siyo sauti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom