Aliyeko baa sasa hivi aagize nakuja kulipa

Aliyeko baa sasa hivi aagize nakuja kulipa

carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Posts
5,058
Reaction score
13,852
wakuu mimi nikitaka kulewa nataka watu wote tulewe nao
sas kama uko bar mida hii wewe agiza mm nakuja kulipa
 
Hayo maandishi yako yamenifanya nikumbuke wimbo wa Dully sykes-Ashamapromise.


Jamaa kanywaa bia za kutosha pamoja na vipapatio binti akatokomea mitini alikuwa kaahidi anakuja kulipa bill.
 
wakuu mimi nikitaka kulewa nataka watu wote tulewe nao
sas kama uko bar mida hii wewe agiza mm nakuja kulipa


Njoo hapa Sinza karibu na Shule ya Mapambano upate Heineken na Amstel kwa bill yangu.
 
Back
Top Bottom