Tangawizi bandia sokoni

Tangawizi bandia sokoni

Manndoza

Member
Joined
Feb 25, 2019
Posts
8
Reaction score
4
Baadhi ya wafanyabiashara hasa wa tangawizi wamekuwa wakiuza viazi vinavyofanana na tangawizi na kuwauzia wateja wao. Viazi hivyo havina harufu yoyote wala ukali wa tangawizi.
TFDA fuatilieni suala hilo kabla halijaleta madhara katika jamii yetu, kwasababu ukiangalia kwa macho ya kawaida utadhani ni tangawizi halisi.
Inapatika kwa wingi ktk soko la Kariakoo kwenye Barbara yanayopaki daladala za Mabibo.
BeautyPlus_20190305161647609_save.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niwasiliane na Anna Kilango Malecela AKA Mama Le Mutu - maana yeye ndio mdau mkubwa wa hili zao[emoji41]
 
Back
Top Bottom