Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwaka huu ni msoto wa njaa ! Mvua imegoma kabisa, mazao yanaharibika karibu nchi nzima. Tanzania hatujawekeza kwenye kilimo cha kisasa cha umwagiliaji. Wakulima wengi wanalima kwa majembe ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Rafiki yangu mpendwa, Mwanafalsafa mwekezaji Charles T. Munger ambaye ni mtu wa karibu wa mwekezaji mwenye mafanikio makubwa duniani Warren Buffett, anasema kuna njia mbili za kuendelea kile...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata zilizopo kwenye halmashauri sita katika mikoa sita ya Tanzania Bara. Mwenyekiti wa Tume NEC Mwenyekiti wa Tume...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni miaka takriban 10 sasa serikali imekua katika mchakato wa kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki yenye athari kubwa katika mazingira na uchafuzi wa mazingira kwa ujumla, imefika mahala...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Kila kona kuna makanisa sahivi! waumini utakuta watano lakini mziki Mkubwa! Mamlaka za mipango miji zipo kimya, mamlaka za uchafuzi mazaingira zipo, Polisi wapo kimya, wizara ya afya wapo kimya...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
TNG Squad hawa jamaa walitamba sana na ngoma yao inayoitwa Bongo Com wamepotelea wapi?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani maendeleo hayana vyama, kama nchi tupo pazuri mnooooo muulize hata Aggrey Mwanri hadi anamkumbusha Mungu baba AMSHUKURU RAIS JPM kwa mambo mema anayoitendea nchi yetu Kwa kweli tulichelewa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baba alinisisitizia kuchukua likizo, kazini nilikua na mambo mengi sana lakini aliniambia kuwa mwezi mmoja wa kutokua kazini naweza ujutia maisha yangu yote kwani yeye hatavuka mwezi atakufa. Kwa...
81 Reactions
89 Replies
10K Views
Madam, kuna wanawake wengi wanakutazama kama “role model”. Ila unanikwaza sana unapokwepa kutamka kwamba ulipata ujauzito ulipokua na miaka 14....Please be bold & say it....ili hata wanaopata...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wilgrand Lubida ambaye ni kijana wa Kitanzania na mhitimu wa Chuo Kikuu akiwa na Shahada ya Ualimu aliamua kuachana na fani hiyo kwa kuona sio kitu anachokipenda na kuamua kuanza kufanya kazi ya...
14 Reactions
113 Replies
21K Views
Unapoonywa Mungu huruhusu uwe na nafasi ya pili kutafakari mwenendo wako wa mapito. Lakini unapokaidi na kudharau hii humaanisha kwamba Umekataa sauti ya Mungu kupitia kwa wanadamu ambao Mungu...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi Leo Dodoma polisi walijipanga sana kukabiliana na maandamano ya ACT kupinga bunge kutofanya kazi na CAG, lakini cha ajabu wala hata maandamano wala dalili hazikuepo japo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mjini Namtumbo, Mhe. Rais Magufuli amezindua Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) kilichojengwa na Serikali ya Tanzania kwa gharama ya shilingi Bilioni 6.5 na ambacho kitakuwa na uwezo wa kutoa mafunzo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
KAMISHNA Mkuu wa Udhibiti wa Fedha Haramu Tanzania, Onesmo Makombe amezitaka nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika kuhakikisha zinabuni mbinu mbadala kukabiliana na tatizo la fedha haramu ambalo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi bado agape wanaonesha UEFA nichukue kingamuzi chao? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Mimi ni raia mwema, naomba kutoa taarifa kuwa kuna jamaa mmoja amemteka binti wa shule ya msingi, kampa mimba na sasa yumo katka mpango wa kufunga naye ndoa. Hivi sasa ndo vikao vinaendelea...
7 Reactions
95 Replies
9K Views
Mathayo 16;1-4 Wakamjia mafarisayo na masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaonyeshe ishara itokayo mbinguni. [2] Akajibu, akawaambia, [Kukiwa jioni, mwasema, Kutakuwa na kianga; Kwa maana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari waungwana kwa yoyote mwenye taarifa za dada yangu khadijah seif miaga, mara ya mwisho kumumuona mwezi wa 6 1995 aliķuwa mwanafunzi wa darasa la 6 mwananyamala kisiwa baadae akahamishiwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…