Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Samahani ndugu zanguni,kuna swala linanitatiza kidogo hapa nataka nipate ilmu na ufahamu zaidi ,kuna rafiki yangu yeye ni muislamu,ana biashara zake huwa anazifanya,sasa leo katika status ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hawa waliopo ni kama wanazoza tu na kupiga porojo kwenye mambo serious. 1. Ticketing ni tatizo sugu wamekwepa electronic ticketing mapato yanavuja...hata baada ya Waziri S. Jaffo kutoa maagizo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Yaani mimi siendi popote kusali wala kuswali! Ila mahitaji yangu yote muhimu nayapata, tena nayapata kwa muda maalumu kabisa. Ni Mungu yupii huyu ananibariki vizuri namna hii? Maana wengine nii...
12 Reactions
166 Replies
13K Views
Wanadai mumewe alifariki akaachiwa ile daladala.... Ni mwanamke wa haja hasa hana kuremba.akawa anaweka dereva na konda awe anakusanya pesa. Wakati huo anasomesha na kulisha familia Akaona...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Tangu Mheshimiwa aingie Madarakani kila maandamano yanayoandaliwa dhidi ya Serikali yanashindakana na kufeli umefika wakati sasa Watanzania watumie njia mbadala kuonyesha na kuelezea hisia zao ila...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mzee wa Azam akipewa mradi huu ndio itakua mwisho wa malalamiko yote vinginevyo utakuja kufa kabisa kwa hali ilivyo.mara usikie madereva hawajalipwa... Mara gari zao nyingine zimekwama bandarini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nina shida hivyo tajwa hapo juu. Nimepitia kwa mtandao documentary ya Great escape from Alcatraz, lkn inaoneka yaliyo katika documentary ni machache mengi nitapata huko.. Haya wajuzi nipeni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Daktari bingwa wa afya ya kinywa na meno kwa watoto wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Conrad Mselle ameishauri jamii kutokumwacha mtoto alale na chuchu ya mama mdomoni hasa wakati wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Walikamatwa Mbwewe wakielekea Tanga baada ya kupora bodaboda mpya huko Tegeta wiki iliyopita kwa kijana mmoja. Baadhi ya bodaboda wameweza kuwatambua wezi hao ambao wako mahabusu kituo cha polisi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Hivi ongezeko la vitambi kwa hao askAri na wanajeshi wetu hamuoni kama ni tatizo? Tunaanza na ulaji wao nadhani wanapenda nyama choma, ugali na bia kwa wingi na utakuta wamefumuka kama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Baadhi ya nchi ikiwemo Rwanda walishapiga marufuku nguo za mkono wa pili...Je Tanzania hatuwezi kuiga mfano huu wa kuvaa nguo kuu kuu walizovaa mabeberu...huku nyingine wakitapikia na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
East African citizens will from March this year be able to access the East African Community (EAC) e-passports that will help ease their movement in the trading bloc, a senior official said on...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NINI KIMEIKUMBA MABASI YA MWENDOKASI. Leo 13:15pm,09/04/2019. Leo nilikuwemo katika gari ambayo imejaa hadi imeshindwa kwenda,mipira ya matairi ikaanza kunuka kuungua ikabidi dereva aombe gari...
13 Reactions
70 Replies
11K Views
Nawasilisha kilio cha wateja wa taxi tunaotumia madreva waliosajiriwa na TAXIFY/BOLT Tanzania. Madreva wenu wanatuibia sana kwa kuchezea platform aka kuchezesha dish. Musiporekebisha si ajabu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wasomaji. Moja kwa moja niende hoja. Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mnakwama wapi hadi wanafunzi wenu wa Postgraduate wanashindwa kumaliza masomo yao kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari, mí kwakweli huwa siipendi ccm, Ila kuna kitu Magufuri amekifanya kwa upande wa ofisi za umma, sasaivi Kwenye ofisi za umma kama Dawasco au Tanesco urasimu ña kudharau wateja...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila siku nasema, taifa hili lina bahati mbaya sana. Hakuna yeyote wa kumtegemea. - Si viongozi wa dini. - Siyo wasomi - Siyo vyama vya wafanyakazi - siyo wafanyakazi - siyo wanasiasa - siyo vyama...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. Hii kitu inanikera sana,yani nimefanya tafiti ndogo nimegundua % kubwa wanawake wote wanafanana Wanapenda kufoka bila sababu za msingi kwa mabinti wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari JF. Habari za kusikitisha kutoka mkoani singida wilaya ya Iramba kata ya Kidaru, kijiji cha Luono ni kuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya secondary kidaru ametekwa usiku wa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Pierre Liquid Konki Fire mama nakufaa... I salute bro! Huyu bwana anakula maji , anakula liquid kama mamba . Anameza kilevi kisawasawa mpaka analia kwa kukumbuka mambo yake huko nyuma. LIQUID ...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…