Je, Tanzania haiwezi kupiga marufuku uingizwaji wa nguo za mtumba. Yapi madhara.

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
5,699
2,000
Baadhi ya nchi ikiwemo Rwanda walishapiga marufuku nguo za mkono wa pili...Je Tanzania hatuwezi kuiga mfano huu wa kuvaa nguo kuu kuu walizovaa mabeberu...huku nyingine wakitapikia na kukojolea...je tufanyeje...what is the economic implication kama tukiamua...wadau leteni mawazo tupate suluhisho. Je ni kwamba Hatuna viwanda...je ni kwamba nguo tunazozalisha ndani hazitoshi...
 

castieltsar

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
1,234
2,000
tuache kufata mkumbo watu hawazidi hata milion10... sisi tupo 50+ tutanunua wap nguo madukani kwa suruali za 24000 quality standard ....nadhani bado hatujawa tiyari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom