leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,716
Walikamatwa Mbwewe wakielekea Tanga baada ya kupora bodaboda mpya huko Tegeta wiki iliyopita kwa kijana mmoja.
Baadhi ya bodaboda wameweza kuwatambua wezi hao ambao wako mahabusu kituo cha polisi Mbweni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya bodaboda wameweza kuwatambua wezi hao ambao wako mahabusu kituo cha polisi Mbweni.
Sent using Jamii Forums mobile app