Kwenye ofisi za umma kama Dawasco au Tanesco urasimu ña kudharau wateja umepungua

Nuraty J

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,729
3,829
Wakuu habari, mí kwakweli huwa siipendi ccm,
Ila kuna kitu Magufuri amekifanya kwa upande wa ofisi za umma, sasaivi Kwenye ofisi za umma kama Dawasco au Tanesco urasimu ña kudharau wateja umepungua kabisa, kingine Dawasco kwa upande wa Daresalaam sijajua mikoani, kiukweli wanajitaidi, maeneo mfano kama kule kwetu KINZUDI, Goba, salasala, miaka yote kulikuwa ña tabú aswa Ya Maji, lakini leo kumesambazwa Maji Tena watu wameunganishiwa Kwa mkopo, kila sehemu, ktk ili la Dawasco ht Profesa Kitila mkumbo anastahili pongezi sana pia,

Wanaharibu Kwenye democracia ña uhuru wakujieleza tu ña baadhi Ya mengineyo
 
Hapa kibaha miembe saba tumeomba maji kwenye kitongoji chetu ,hadi tumeomba tujitolee kuchimba mtaro, huu sasa ni mwaka wa tano tunaambiwa suala letu linashughulikiwa. Hiyo mitaa unayoitaja wanajaribu kutafuta kura
 
Back
Top Bottom