Unemployment vs Efficiency | Madhara makubwa ya Teknolojia

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,303
Reaction score
6,123
Hello bosses..

Teknolojia baada ya kuharibu social interactions kuanzia miaka ya 2008 na kuendelea hasa hasa kupitia mitandao ya kijamii, games etc kwa kufanya watu wawe wanapoteza mda mwingi wakiwa na simu kuliko wakiwa na watu (wanajamii wenzao), iliendelea na imendelea kuleta madhara makubwa sana hasa hasa katika upande wa ajira.

Kwa miaka iliopita tumeona jinsi technology ilivyofanya kazi nyng ambazo zilikua zinafanywa na binadamu ziwe automated na kufanywa na mashine/robots.

Kwa miaka ijayo itakua ndio balaa kabisa coz 80% ya kazi zote duniani zitakuwa automated na hapa watu wengi sana watabaki unemployed zaidi hata ya ilivyo kwa sasa. Hii ni kwa sababu makampuni mengi makubwa duniani yamewekeza katika kuadopt na kufanya research kuhusu ARTIFICIAL INTELLIGENCE, ambayo ni teknolojia inayofanya mashine zifanye kazi kama watu, na tena kwa ufasaha zaidi (more efficience) kuliko watu.

Pia mapato ya serikali yatapungua sana coz ulipaji wa kodi ni chanzo tegemezi sana kwa mapato ya serikali nying, lkn utumiaji wa BLOCKCHAIN Katika finance unafanya serikali isipate hizo kodi pale fedha inaposafirishwa kutoka somewhere A to Somewhere B kwa sababu blockchain haziko centralized, yaan haina uhitaji wa kuwa na mtu au organization inayosimamia hizo transaction, kwa maneno mengine wanaita "peer to peer."

Sasa swali linakuja hapa, "JE TUKUBALI TECHNOLOGIES HIZI ZA A.I NA BLOCK CHAIN AMBAZO ZITALETA UNEMPLOYMENT NA KUSABABISHA UMASIKINI(in the long run) AU TUZIPOTEZEE TU JAPO ZITAONGEZA EFFICIENCY (ufasaha) KATIKA KUFANYA KAZI MBALIMBALI"

Cc Graph
 
Maada yako ni fikirishi !!! Karibu ajira zote za kawaida zitakuwa zinapotea kwa sababu ya teknologia - udereva (replaced by driverless cars), ulinzi (surveillance technology inayotambua sura na mwendo pia); clerical na office work (smart computers ); kazi za nyumbani (robots); kazi ya madukani (smart scaning and card payments -imesheanza kutumika kwenye maduka ya Amazon huko Marekani) na hata kazi za madaktari na malawyers (super computers - kuna computer ya IBM huko Ujerumani inafanya diagnosis kwa AI iliyo almost 80% accurate!).

Technologia ya AI ikianza kutumika kwa kasi italeta majanga isiyo na mfano. Halafu, wakati watu hawana kipato, serikali itatoza kodi ya mapato wapi??? Isitoshe idadi ya wazee pia inaongezeka kwa kasi duniani kote.

Lakini binadamu are very creative! Angalia tu jinsi watu wanavyogundua namna mpya ya kujipatia kipato kwa kutumia smart phones - apps, Uber, mobile pesa, nk.
 
Yes mkuu. Ndo maana kuna speech Jack Ma(Founder of alibaba) anasema "...We no longer compete for knowledge, but rather fo creativity".

dunia ya sasa inahitaji sana creativity. Wale walio creative ndio wataweza kupata mafanikio. Ila tatizo linakuja kwenye mitaala yetu ya elimu ambayo inafanya watu wawe stores za knowledge bila kuwasaidia wawe creative

"IMAGINATION IS BETTER THAN KNOWLEDGE" by A. Einstein
 
worse zaidi the population iko kwenye rapid growth 2030 heat up itakuwa imezidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Of coz, ndo maana kuna watu wanasema mwisho wa dunia utaletwa na sisi wanadamu tu, coz hata ukiangalia kwenye vitabu vya dini wanasema hakuna aijuae siku wala saa.

Sisi kwa sisi tutajitengenezea tu mwisho wa dunia na hizi technology zinazozidi kugunduliwa
 
sasa mbona nchi zenye high technology unemployment rate iko chini mfao japan, china n.k? technology imefanya dunia iwe kama kijiji na kutuongezea maarifa na kupunguza uongo ile habar ya simba kwenda kucheza mpira misri wakifungwa wanarudi na visingizio tumeonewa na refa hamna siku hizi tunawaona live kwenye tv!
 
Yes mkuu. Ndo maana kuna speech Jack Ma(Founder of alibaba) anasema "...We no longer compete for knowledge, but rather fo creativity".
dunia ya sasa inahitaji sana creativity. Wale walio creative ndio wataweza kupata mafanikio. Ila tatizo linakuja kwenye mitaala yetu ya elimu ambayo inafanya watu wawe stores za knowledge bila kuwasaidia wawe creative
"IMAGINATION IS BETTER THAN KNOWLEDGE" by A. Einstein

Ni kweli, elimu yetu imekuwa ya kukariri zaidi na hailengi kutufundisha kuwa wabunifu! Tumezoea kurudia yale yale ya zamani na hatuna muda ya kufikiria mapya. Angalia tu traffic kwenye thread yako hii yenye very interesting topic, zaidi zaidi wachangiaji kama sita hivi! Watu wavivu sana wa kufikiri na kutafakari. Wanapenda maisha ya mbio mbio, lakini hawajui wanakoelekea????
 
sasa mbona nchi zenye high technology unemployment rate iko chini mfao japan, china n.k? technology imefanya dunia iwe kama kijiji na kutuongezea maarifa na kupunguza uongo ile habar ya simba kwenda kucheza mpira misri wakifungwa wanarudi na visingizio tumeonewa na refa hamna siku hizi tunawaona live kwenye tv!
Yap mkuu unachosema ni sahihi kabisa, technology imesaidia kufanya dunia iwe kama kijiji lkn ktk swala la ajira, technology inaenda kureplace ajira nyingi mno sema kwa nchi kama Japan wao wanajua kuteneneza ajira ktk sector mbalimbali.

Sio japan tu bali nchi nyingi zilizoendelea na zenye mipango mizuri zina watu wanaokaa chini na kutengeneza/kubuni nafasi za ajira ambazo haziwezi kuwa replaced na technology

Ngoja nikupe mfano, unaona nchi za wenzetu kuna michezo ya aina mbalimbali ambayo ukiileta Afrika tutaona ni michezo ya kijinga na isio na maana, kuna channel ya AXN huwa inaonyesha sana michezo hii na washindi wanajishindia pesa nyng tu, hio michezo imewekwa ili iwe kama njia ya watu kujiajiri na kuajiriwa.

Vle vle wanasayansi na watafiti ktk technology wameliona hilo la kupotea kwa ajira na wakaja na mawazo ya mbinu mbalimbali za ku,pambana na hicho kitu. Mfano Elon Musk(C.E.O of Tesla motor and SpaceX) alipotembelea UAE, Dubai aliulizwa khs hili swala na yeye alichojibu ni kwamba, "Itabidi serikali ziwe zina mpango wa kuwalipa tu watu waliosomea coz fln hata kama hawana kazi, yaan ziwe zinawapa watu fedha za kujikimu coz watakuwa wamesoma lkn hawana kazi"

Kwenye clip hio apo chini Elon Musk anasema "...Unemployment will be a challenge and I think we should have BASIC UNIVERSAL INCOME coz we shall have no choice...."

Uliangalia kwa umakini haya makampuni makubwa yanachojali ni efficiency ambayo inawasababishia wao kupata high profit..
Bigi corporation zinainvest Pesa nyingi kwenye technology,,angalia tu from self driving car mpaka kwenye drones...
mfano angalia tu hizi delivery drone ambazo zinazosafirisha damu huko rwanda ni more efficiency kuliko binadamu na cost yake ni ndogo tu...
A.I na automation ni majanga kwa sisi makapuku,self driving truck,buses,car,etc watu wangapi wanaenda kulose kazi zao...

tukija viwandani watu wengi tu kazi zao zitafanywa na robot,ukija mahotelini wahudumu ni robot
Tujiandae kwa namna moja ama nyingine,yajayo yanafurahisha...
 
Haaaahaaa sawa mkuu.

Labda hii issue ya "UNIVERSAL BASIC INCOME " Anayo suggest Elon Musk inaweza kusaidia kuondoa umasikini kwa watu ambao jobs zao zitakua replaced na technology(cheki hio video nloweka hapo juu akiwa anahojiwa)

Ngoja tusubiri, time will tell.
 
Hello bosses..

Teknolojia baada ya kuharibu social interactions kuanzia miaka ya 2008 na kuendelea hasa hasa kupitia mitandao ya kijamii, games etc kwa kufanya watu wawe wanapoteza mda mwingi wakiwa na simu kuliko wakiwa na watu (wanajamii wenzao), iliendelea na imendelea kuleta madhara makubwa sana hasa hasa katika upande wa ajira.

Kwa miaka iliopita tumeona jinsi technology ilivyofanya kazi nyng ambazo zilikua zinafanywa na binadamu ziwe automated na kufanywa na mashine/robots.

Kwa miaka ijayo itakua ndio balaa kabisa coz 80% ya kazi zote duniani zitakuwa automated na hapa watu wengi sana watabaki unemployed zaidi hata ya ilivyo kwa sasa. Hii ni kwa sababu makampuni mengi makubwa duniani yamewekeza katika kuadopt na kufanya research kuhusu ARTIFICIAL INTELLIGENCE, ambayo ni teknolojia inayofanya mashine zifanye kazi kama watu, na tena kwa ufasaha zaidi (more efficience) kuliko watu.

Pia mapato ya serikali yatapungua sana coz ulipaji wa kodi ni chanzo tegemezi sana kwa mapato ya serikali nying, lkn utumiaji wa BLOCKCHAIN Katika finance unafanya serikali isipate hizo kodi pale fedha inaposafirishwa kutoka somewhere A to Somewhere B kwa sababu blockchain haziko centralized, yaan haina uhitaji wa kuwa na mtu au organization inayosimamia hizo transaction, kwa maneno mengine wanaita "peer to peer."

Sasa swali linakuja hapa, "JE TUKUBALI TECHNOLOGIES HIZI ZA A.I NA BLOCK CHAIN AMBAZO ZITALETA UNEMPLOYMENT NA KUSABABISHA UMASIKINI(in the long run) AU TUZIPOTEZEE TU JAPO ZITAONGEZA EFFICIENCY (ufasaha) KATIKA KUFANYA KAZI MBALIMBALI"

Cc Graph
Tuzikubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom