Mfumo wa SELFORM

Mfumo wa SELFORM

Dashdown

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
403
Reaction score
446
Habarini za majukumu ya kulijenga taifa!
Niende moja kwa moja kwenye mada ...Nimepita katika tovuti ya tamisemi nikakutana na chapisho la mfumo wa SELFORM ambalo linawataka wahitimu wa kidato cha nne kujaza machaguo yao kwa ajili ya kuchaguliwa kwenda kidato cha tano. Naomba kujua kama hii njia ya wahitimu wa kidato cha nne kujaza machaguo ya shule wanazotaka kwenda kwa kidato cha tano imeshathibitishwa kuwa itajazwa kwa kutumia huu mfumo au huu mfumo utatumika miaka ijayo na kama wanatakiwa wajaze mwaka huu je hao wahitimu wanataarifa za kutosha kuhusiana na huu mfumo?
Ni hayo tu!
 

Attachments

Back
Top Bottom