johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma leo ameongoza doria jijini humo kuhakikisha maandamano ya ACT wazalendo hayafanyiki.
Kamanda Muroto amesema imekuwa heri watu hao hawakutokea barabarani maana angewachakaza kweli kweli.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kamanda Muroto amesema imekuwa heri watu hao hawakutokea barabarani maana angewachakaza kweli kweli.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!