Taifa na promo zisizo na maana, tunaekekea wapi?

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
6,136
Reaction score
6,922
TANZANIA NA PROMO ZISIZOKUWA NA MAANA.

Wakati Wiki iliyopita Rais wa Ufaransa akiwa Kenya wakenya walijitahidi sana kuhakikisha kuwa amepanda Gari lililoundwa nchini Kenya na waliipa promo sana Issue ile.

Hii kwao ni faida kubwa sana, mitandao ya Kenya ilichafuka kwa picha za Emmanuel Macron akiwa kwenye hiyo Gari. Wakati huko Kenya wakifanya hivyo nilipita mitandaoni nione ni kitu gani kipo hot sana nikakuta ni jamaa anayeitwa Pierre Liquid mzee wa Its OK , utabaki kuwa juu, mama Nakufa, haya ndio maneno anayotamka pindi kilaji (Bia) zinapompanda kichwani.

Huyu ndiye kashika media zote hapo dar akipita kila mtu anamfuata, wanataka wapige naye picha, ameshakuwa Shujaa kwa kunywa pombe. Tunamjadili yeye tunaacha mambo ya msingi kabisa, kuna watu wamemuita Kenya na ana Ziara ya kwenda marekani. Yaani Tanzania badala ya kuchagua vijana wabunifu kwenye vyuo vyetu waende njee kujifunza zaidi tunamtuma mlevi kwenda kuonyesha ujinga wetu nje.

Hii ndio Tanzania na masikhara yake sikia....

Kwa Lugha ya malkia tunasema "Model is a thing used as an example to follow or imitate". Mlishajiuliza ni vijana wangapi wataiga ulevi huu wa kupindukia wa huyu jamaa? Piteni huko mtaani muone jinsi watoto wanavyomuigiza....

Tumeshajiuliza nini kinapandwa kwa hawa watoto? Yaani wanaaminishwa ukiwa mlevi unafanikiwa kimaisha? Huu ndio urithi tulioamua kuwarithisha hawa watoto?

Nimeona anahojiwa hadi kwenye vyombo vyetu vya habari, yaani taifa linahamasisha unywaji wa Pombe.

Tumelink tena Ulevi na ushindi wa Taifa Stars, viongozi wetu wanatuombea tupewe punguzo la Bei kwenye pombe. Tunashindwa kusema kuwa kama Stars ikishinda tutafanya jambo Gani positive tunakimbilia kulewa what a shame...

Tuna mambo ya msingi sana kama taifa ya kushabikia lakini sio ujinga kama huu. Tumejikuta wote tumekuwa wajinga, kuna watu nyuma ya huyu mlevi nani anajadili tena mambo ya msingi ya Taifa hili? This man is Fake Hero like Dr shika.

Serikali ifanye shindano la vijana la kubuni vyanzo vipya vya mapato ili tupate fedha za kuajiri, kuongeza nishahara nk. Badala yake tumeaamua kuwafanya vijana walevi.... Taifa lisifurahie kuwa na vijana walevi na wasioweza kujadili mambo ya maana. Tunaliua taifa letu kwa mikono yetu wenyewe.

December mwaka jana kuna binti wa Kitanzania alitunikiwa nishani ya mlinzi wa haki za binadamu ya ummoja wa mataifa hatukumpa hii promo ambayo tunampa huyu mlevi. Tunajadili mambo mepesi sana kwenye jamii yetu. Nilitamani bint huyu awe mfano na wengine wamuige lakini nani anamjua? Tunakimbizana na Konk Faya.

Tunakataaje swala la IQ ndogo kwa watanzania kama tafiti zinavyosema? Its OK endeleeni kuwa kileleni.

Turithishe maarifa sio ulevi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali hii ndo inapenda na Ku encourage watu kushanikia na kuwa wajinga ili iwe rahisi kuwaburuza!...poor Tanzania!
 
Siku hizi vyombo vya habari pamoja na waandishi wao wamejikita kwenye kusifia tu hata vitu vya kijinga. Ule weledi wao wa miaka ile wameamua kuuweka mifukoni mwao. Azam two alijitutumua kuwa fair lakini mwisho wa siku kilichokuja kumkuta hadi leo wote tunakijua.

Bila shaka wanaogopa yasije yakawatokea kama yale ya mwandishi mwenzao Azory Gwanda (hajulikani alipo huyu hadi sasa) na pia ndugu yetu mzee baba Pascal Mayalla (alipotakiwa kujisalimisha Dodoma mara moja kwa amri ya Ndugai).
 
Back
Top Bottom