Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana JF Naomba kuuliza Wakuu hivi hospitali ile ni ya serikali au private maana gharama zipo juu kuliko Maelezo mpaka watu wanahofia kupeleka wagonjwa wao Maana ukishapewa rufaa ya kule...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
nyumba inauzwa kama kiwanja sababu ni nyumba ya muda mrefu hivo haina muonekano mzuri. location-MBEZI BEACH GOIG 100m from bagamoyo road,karbu na njiapanda ya kwenda GOBA or near Massana hospital...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
India wana mfumo mzuri sana. TCRA yao imepiga marufuku vifurushi vinavyouzwa na makampuni kama DSTV, Startimes, Azam etc kwa sababu mtu analazimishwa kulipia channels kibao na nyingine wala...
9 Reactions
18 Replies
3K Views
Siku hizi ajira imekua tatizo unakuta mtu kamaliza degree mwaka tatu sasa yupo tu nyumban na hajui afanye nini, Anaeza pata idea ya kufanya kitu lakini mtaji ndo shida Mwingine anaeza kuwa na...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari, hapo juu Tumepata dharula hapa Ubungo stand, sisi abiria wa kuelekea Mwanza tulikata tiketi za basi la BEST LINE, lakini kufika asubuhi tukabadilishiwa usafiri...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada wa kujua brand bomba ya home theatre chukulia zote zina uwezo sawa mfano 1000w, ni ipi bomba zaidi?
0 Reactions
26 Replies
62K Views
Huyu Jamaa anapenda visherehe aisee vingine havina hata umuhimu ili mradi tu watu wamekusanyika na kumpa sifa za kijinga jinga tu Na pia kama sio rushwa ni nini! Kuwanywesha watu wote ukumbi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Naleta thread hii tuitumiea kujiangalia na kutambua mazuri tuliyo nayo kama Taifa. Najua Tanzania tuna mapungufu mengi, lakini vile vile tune mazuri mengi sana. Hebu tutumie thread hii...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Kamanda wa polisi mkoa wa Mjini Magharib Unguja, Thobias Sedeyoka amesema polisi wanachunguza lengo la askari wa jeshi la kujenga uchumi Zanzibar (JKU) ambalo huku bara hutambulika kama Jeshi la...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Mapema siku juma tatu msanii wa miondoko ya kufokafoka Roma mkatoliki alitimiza ahadi aliyohiahidi ya kukutana na wana habari katika muktadha wakuweka wazi mambo kadhaa wa kadhaa yaliyomsibu...
7 Reactions
42 Replies
9K Views
Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Masharti Maalum ya Makubaliano ya Uhakikisho wa Kukidhi Vigezo Kabla ya Kusafirisha Bidhaa (PVoC) kati ya TBS na watoa huduma wanne (4) kwa magari yaliyotumika...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuna kitu nimeona tuhabarishane kidogo hasa sisi vijana na wanaume watu wazima chini ya umri tajwa hapo juu. Ni vitu vya msingi sana katika maisha yetu ya kila siku katika nyanja...
28 Reactions
43 Replies
8K Views
Napenda kuwashukuru wote mliochangia kunisaidia kuhusu mwanangu kupata data za hali ya hewa ya Dodoma, Tanga na Kagera. Mwendo haukuwa rahisi na ilibidi tupige hodi kwa majirani Uganda ambao wana...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Maamuzi 10 ya wakati huu ambayo usipoyafanya vizuri baadaye utayajutia: 1. Kuishi maisha ambayo huyapendi au huyamudu kutoka moyoni mwako lakini kwa sababu tu unataka kuwafurahisha wale...
12 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanajamii, Nikiwa katika kutimiza majukumu yangu ya kazi nilifika katika nyumba za kanisa fulani. Shida yangu ilikua kufika nyumbani kwa mchungaji wa kanisa la mahali hapo. Niliona...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Baadhi ya nchi ikiwemo Rwanda walishapiga marufuku nguo za mkono wa pili. Je, Tanzania hatuwezi kuiga mfano huu wa kuvaa nguo kuu kuu walizovaa mabeberu huku nyingine wakitapikia na kukojolea...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Moja ya tatizo kubwa la wakazi wa dar es salaam ni kuamini kuwa wameyazoea sana magari na wanayafaham vizuri sana. Si ajabu kabisa ukakuta mtembea kwa miguu barabarani anakwepa kidimbwi cha maji...
26 Reactions
45 Replies
5K Views
Huyu mzee anastahili pongezi kwa kugusa kila eneo Anasema Mfuko wa Penseni wa NSSF inataka malipo ya mafao kwa wastaafu yalipwe ndani ya siku 14 baada ya maombi ya wastaafu kuwasilishwa. Malipo...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Mara zote tunasubiri ajali zitokee ndo tuchukue hatua, Nimebahatika kuyapanda mabasi ya mwendo kasi Kivukoni - Kimara, Gerezani- kimara, Kwanza Utaratibu ni mbovu kuliko mabasi yetu ya zamani...
6 Reactions
101 Replies
12K Views
Kwanza nianze kwa kuwasalimu. Pili naomba hiki kilio kiwafikie mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano na waziri wa Fedha na Mpango. Ni kuhusu sisi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…