Niliwahi kuuliza kwa watu wa mradi wa dmdp kata ya Mbagala utaanza lini?,baada ya ile ahadi ya kuanza mwezi wa March 2019 kupita,ahadi ambayo ilitolewa na Afisa mradi huo Bw,Edward katika ziara ya...
Yaani sasa hivi mtangazaji anasimama mbele ya ile meza anaonekana kavaa nini kuanzia chini hadi juu wakati huo anasoma vichwa vya habari na baada ya hapo anageuka sasa (hapa kama ni wa kike lazma...
Ieleweke Yapo mazoezi mawili (La urathimishaji kwa kutumia makampuni; Na lingine hili jipya la kuchukua coordinate lunalofanyika sasa bure)
Hapa nazungumzia hili zoezi la Coordinate...
Mungu kaumba karama kwa kila mtu,
Wapo waliopewa karama za uchungaji na wanafanya vizuri huko lakini ukiwapeleka kwenye mziki hawajui chochote
Wapo waliopewa karama za kuimba wanafanya vizuri...
Endelea na kejeli zako kwa watu. Endelea na kiburi chako cha kauli na matendo. Endelea na kusema chochote tena vyovyote. Endelea kujiamini hadi kupitiliza. Endelea kuona kuwa unaweza kusema au...
HIFADHI ya Taifa ya Mkomazi itatumia zaidi ya Sh. bilioni 1.5 kuanzisha utalii wa faru weusi utakaokuwa wa kwanza hapa nchini na wa pili duniani, ambao utawawezesha watalii kuwaona kwa karibu...
Kwetu sisi wakaazi wa kimara na baadhi ya sehemu mbali mbali hapa dsm tunateseka sana na mwendo kasi na kutukumbusha heri ya enzi za UDA yetu ya miaka ya 80
NDEGE kubwa zaidi duniani yenye injini sita aina ya Boeing 747 imeruka kwa majaribio mara ya kwanza mwishoni mwa wiki California, Marekani. Ndege hiyo ilifanya safari yake katika jangwa la Mojave...
Rais wangu mpendwa John Pombe Magufuli. Sisi watanzania tunaokupenda tunakutakia heri ya Pasaka. Mungu akutie nguvu, akupe maisha marefu ili uendelee kututumikia watanzania.
Mwana Jf hebu sema...
TCRA naombeni majibu haya kabla ya kuhitaji alama za vidole za kila mmiliki line, je technology ya kisasa imewashinda?
TCRA wamenishangaza sana, wanataka alama za vidole kwa kila mmiliki wa line...
Kama mkaazi wa Kivule/Kitunda, inaumiza sana kuona tuna mbunge ambaye haona aibu jimbo lake kuwa na barabara mbovu kuliko zote Dar esalaam.
Barabara ya kutoka Ukonga Banana kupitia Kitunda, Kivule...
Habari wana jamvi.
Kama umeshawahi tumia internet ya smile, naomba mrejesho wako. Nafikiria kuanza tumia huduma yao.
Je, speed ya internet ipoje? Kwa mkoa wa Dar na mikoa mingine?
How reliable...
Mimi binafsi nimeishi na watu aina mbalimbali ukiwa beach boy na unashiriki shughuli za uvuvi unakutana na watu wengi sana.
Katika jamii nilizokaa nao waarabu wanaongoza hasa wale wanaotokea...
Miongoni mwa Project zilizoanzishwa kwa muktadha wa Public Private Partnership ni mradi wa mwendokasi.
Kampuni iliyoshinda tenda ya ujenzi wa barabara na miundombinu ni Strabag kutoka Ujerumani...
jamani ivi kwanini katika haya maisha kuna watu huwa sio waelewaaa hatukai kila binadamu ana shida lakini ni kwanini watu wengine sio waelewaaaa.......
hebu fikiria mtu anakupiga mzinga au kibomu...
Ndugu zangu kitambulisho cha NIDA nilihangaika hakieleweki hadi leo,nimechoka na hii serikali ya kutishanatishana kila wakati
Kuna uwezekano wa kutumia line ya safaricom Tanzania niombe jamaa...
Wakuu nipo katika kujifunza hapa.
Naombeni fact za kisayansi zinazoonyesha kwa nini waundaji wa ndege wakaamua kuweka vioo vya duara (mayai) na sio pembe nne..
Wakuu.
Nimewaza sana huu ukuu na utukufu tunaowapa viongozi hapa duniani tunamkosea sana Mwenyezi Mungu.
Angalia sifa alizohitaji Muammar Gadafi leo yuko wapi, sifa na utukufu wa Saddam leo yuko...
habari wana JF.Mimi ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 25
Ninampango wa kufungua kampuni ya biashara.
Hivyo basi nilikuwa nahitaji watu ambao wapo tayari kufanya kazi namimi,hasa vijana...