RC Makonda, kwa Dr. Shika utaingia 'choo cha kike'...utapotea mazima!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Endelea na kejeli zako kwa watu. Endelea na kiburi chako cha kauli na matendo. Endelea na kusema chochote tena vyovyote. Endelea kujiamini hadi kupitiliza. Endelea kuona kuwa unaweza kusema au kufanya lolote na usiguswe. Lakini, CHUNGA SANA mwanangu!

Ita watu wa hovyo na wa ajabu, lakini si Dr. Shika. Umesikika ukimtaja kwa kejeli, dharau na kutojali madhara ya kufanya hivyo. Kwasasa unajadiliwa mahali ambapo hadi utamaliza u-RC wako hautapakanyaga. Unajadiliwa kwa kumzungumzia huyo Dr. Shika.

Ni ajabu 'kuharibu' mnada wa TRA na mambo kutulia hivi. Tafakari sana. Unajua kwasasa yuko wapi? Unajua anafanya nini? Unajua ana thamani gani kwa nchi hii na dunia kwa ujumla? Unajua kwanini kwasasa hasikiki tena? Nakwambia tena mwanangu, CHUNGA SANA!

Ulimi huponza kichwa. Hapo kwa Dr. Shika utaingia choo cha kike....utapotea mazima!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Geita, Tanzania)
 
Hivi kwa nini Bashite anajiona bora kuliko watu wengine? Hiki ni cheo tu atapita mwingine kuwa RC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea na kejeli zako kwa watu. Endelea na kiburi chako cha kauli na matendo. Endelea na kusema chochote tena vyovyote. Endelea kujiamini hadi kupitiliza. Endelea kuona kuwa unaweza kusema au kufanya lolote na usiguswe. Lakini, CHUNGA SANA mwanangu!

Ita watu wa hovyo na wa ajabu, lakini si Dr. Shika. Umesikika ukimtaja kwa kejeli, dharau na kutojali madhara ya kufanya hivyo. Kwasasa unajadiliwa mahali ambapo hadi utamaliza u-RC wako hautapakanyaga. Unajadiliwa kwa kumzungumzia huyo Dr. Shika.

Ni ajabu 'kuharibu' mnada wa TRA na mambo kutulia hivi. Tafakari sana. Unajua kwasasa yuko wapi? Unajua anafanya nini? Unajua ana thamani gani kwa nchi hii na dunia kwa ujumla? Unajua kwanini kwasasa hasikiki tena? Nakwambia tena mwanangu, CHUNGA SANA!

Ulimi huponza kichwa. Hapo kwa Dr. Shika utaingia choo cha kike....utapotea mazima!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Geita, Tanzania)
Ngoma ikevuma sana hupasuka.

Everybody say yeeeeeeeeeeeh!

Na Pierre anajadiliwa wapi?........hahahaa!
 
Kwa wasiolewa Dr shika ni mtu alipewa mission fulani kuvuruga suala la Lugumi ambalo pamoja na kufeli ikabidi Lugola ajitetee,

Makonda Be careful

Endelea na kejeli zako kwa watu. Endelea na kiburi chako cha kauli na matendo. Endelea na kusema chochote tena vyovyote. Endelea kujiamini hadi kupitiliza. Endelea kuona kuwa unaweza kusema au kufanya lolote na usiguswe. Lakini, CHUNGA SANA mwanangu!

Ita watu wa hovyo na wa ajabu, lakini si Dr. Shika. Umesikika ukimtaja kwa kejeli, dharau na kutojali madhara ya kufanya hivyo. Kwasasa unajadiliwa mahali ambapo hadi utamaliza u-RC wako hautapakanyaga. Unajadiliwa kwa kumzungumzia huyo Dr. Shika.

Ni ajabu 'kuharibu' mnada wa TRA na mambo kutulia hivi. Tafakari sana. Unajua kwasasa yuko wapi? Unajua anafanya nini? Unajua ana thamani gani kwa nchi hii na dunia kwa ujumla? Unajua kwanini kwasasa hasikiki tena? Nakwambia tena mwanangu, CHUNGA SANA!

Ulimi huponza kichwa. Hapo kwa Dr. Shika utaingia choo cha kike....utapotea mazima!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Geita, Tanzania)
Hahahaha. Mikwara ya nama hii unifurahisha sanaaaa.
 
Ndio kishamsema, mnamtisha anajadioliwa kwa lipi? kwani kuvuruga mnada wa TRA ni sifa au jambo la kupigiwa mfano?
 
Kwan dr shika ndo nan katk nchi hii? Muhun flan na mjinga flan aloharibu mnada wa tra kwa kupewa ela et
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom