Heri ya UDA zetu wahenga kuliko mateso ya mwendokasi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kwetu sisi wakaazi wa kimara na baadhi ya sehemu mbali mbali hapa dsm tunateseka sana na mwendo kasi na kutukumbusha heri ya enzi za UDA yetu ya miaka ya 80
IMG-20190420-WA0014.jpeg
IMG-20190420-WA0005.jpeg
 
Shida iliopo Kimara na Mbezi Luis hakuna kiongozi yeyote wa ngazi juu ambae amegundua tatizo limejikita wapi. Ni ujinga uliopindukia kuwachukia abiria Mbezi Luis na kwenda kuwabwaga Kimara badala ya kuondoka nao moja kwa moja kwenda mjini.Wanabwagwa Kimara halafu tena mgari hayo hayo au mengine yanaanza tena kuwapakia abiria hao hao.Pia abiria wanatoka Morocco, Gerezani au Ferry wote wanalundikwa Kimara mwisho badala ya kuondoka nao moja kwa moja kwenda Mbezi Luis.Wakishalundikwa hapo magari hayo hayo tena yanaanza kuhangaika kuwabeba kuwapeleka Mbezi Luis.Sijawahi kuona ujinga wa jinsi hii duniani kulundika watu badala ya kuondoka nao moja kwa moja wanakoenda.Tunaomba wahusika watueleze kulundika watu Kimara maanake yake nini???.Kama ni kutafuta hiyo nauli ya 400/= kwani ikiongezwa kwenye ruti ya moja kwa moja ni vibaya.MAKONDA NA WAZIRI ANAEHUSIKA NA DHAMANA YA USAFIRI ondoeni ujinga huu.
 
Tunateseka sana ndugu zenu

Back
Top Bottom