Anything to learn from Rugemarila Mutahaba?, let's talk...

Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,207
2,000
A Tanzanian guy born in brooklyn USA died in SA only at 49yrs old. The one and only named Rugemarila Mutahaba famous as Boss Ruge. Yanazungumzwa mengi sana kumhusu hasa kwa namna alivyogusa maisha ya wengi in a positive way kuanzia wanafamilia, his business partners, wafanyakazi wake na watu wake wa karibu waliokua nae into his daily activities mpaka kwetu sisi ambao hatujawahi hata kukutana nae ila kumsoma tu au kumwona katika TV na kumsikia kwa radio na kuongea kwenye semina na makongamano mbali mbali.

Kwa tension na publicity gain kutokana na kifo cha ndugu yetu huyu kinadhihirisha namna gani alikua akiishi na watu hasa moyo wake wa kutaka kuwainua wengine na kutaka wafanikiwe.

Anything to learn from Ruge? Viongozi na watu mashughuli mbali mbali hapa nchini wamesikika wakimzungumzia Ruge kwa wanavyomfaham na ni nini wamejifunza kutoka kwake, kwa mwananchi wa kawaida si rahisi kupata platform kama hizo ukasema usikike sasa kwa kupitia thread hii nataka ufunguke nini umejifunza toka kwa maisha ya Ruge? Especially ukiwa kama kijana mwenzangu. Mwenzetu alama alioiacha itazidi kukumbukwa vizazi na vizazi hasa aliyoyafanya kwenye kiwanda cha muziki bongo and entertainment industry kwa ujumla wewe na mimi siku tukifa tutazungumzwaje? Tutaacha alama gani kwenye hii dunia? Kwenye kazi uifanyayo utaacha legacy ya namna gani? Utakumbukwa kwa lipi?

Anything to learn from Ruge?, what's your "take away" from his life? let's talk...
IMG_20190227_052923.jpeg
IMG_20190301_202944.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fedor von Bock

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,241
2,000
A Tanzanian guy born in brooklyn USA died in SA only at 29yrs old. The one and only named Rugemarila Mutahaba famous as Boss Ruge. Yanazungumzwa mengi sana kumhusu hasa kwa namna alivyogusa maisha ya wengi in a positive way kuanzia wanafamilia, his business partners, wafanyakazi wake na watu wake wa karibu waliokua nae into his daily activities mpaka kwetu sisi ambao hatujawahi hata kukutana nae ila kumsoma tu au kumwona katika TV na kumsikia kwa radio na kuongea kwenye semina na makongamano mbali mbali.

Kwa tension na publicity gain kutokana na kifo cha ndugu yetu huyu kinadhihirisha namna gani alikua akiishi na watu hasa moyo wake wa kutaka kuwainua wengine na kutaka wafanikiwe.

Anything to learn from Ruge? Viongozi na watu mashughuli mbali mbali hapa nchini wamesikika wakimzungumzia Ruge kwa wanavyomfaham na ni nini wamejifunza kutoka kwake, kwa mwananchi wa kawaida si rahisi kupata platform kama hizo ukasema usikike sasa kwa kupitia thread hii nataka ufunguke nini umejifunza toka kwa maisha ya Ruge? Especially ukiwa kama kijana mwenzangu. Mwenzetu alama alioiacha itazidi kukumbukwa vizazi na vizazi hasa aliyoyafanya kwenye kiwanda cha muziki bongo and entertainment industry kwa ujumla wewe na mimi siku tukifa tutazungumzwaje? Tutaacha alama gani kwenye hii dunia? Kwenye kazi uifanyayo utaacha legacy ya namna gani? Utakumbukwa kwa lipi?

Anything to learn from Ruge?, what's your "take away" from his life? let's talk... View attachment 1035512 View attachment 1035515

Sent using Jamii Forums mobile app

hayo ni maneno yako wewe binafsi. in reality inaonekana hata haumjui vyema 29=49. pathetic
tupo bize kumpokea jabari lowassa na msaidizi wake.rost ndizi.. membe na team yake ya akina nape,makamba na wengineo watafute pakutokea.
 
Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,207
2,000
Ruge alikua mwanadamu kama wanadamu wengine wa kawaida kabisa, alipatia mengine alikosea, ana mazuri mengi na mabaya pia lakini ni muhimu kujifunza kupitia mazuri yake tukafanikiwa na kwa mabaya yake tukayakimbia ili nasi tusirudie kuyafanya tukakwama!.

Pamoja na mazuri mengi, Boss alikua na mabaya yake tusiache kuyasema jf hua tunasema "where we dare to talk openly" let's talk lakini kwa nia njema kabisa ya kujifunza.
Safi mkuu!
Usinyanyase na kudhulumu wasiojiweza kama Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,597
2,000
nimejifunza ku follow your passion na kutosikiliza watu wanasema nini juu yako..

binafsi nimewahi kuonana na ruge as a person mara kazaa.. nilikuwa namshangaa sana pale THT mtu mwenye pesa kama yeye amepaki jeep yake ya silver au benz yake nyeusi... halafu anakaa kwenye benchi na madogo wa hali ya chini na aliowazidi sana umri kama kina santana, magic, ndella, jolie, anawaandikia nyimbo, anawakosoa wakiimba vibaya, anawahamisha wakaze.. na kupiga nao stori kwa kucheka kama kijiweni.. hasa hasa jioni..

tulikuwaga tunafanya kazi zake za graphics na tshirts sana... kila nikienda for malipo au kupeleka kazi.. nilikuwa najifunza sana kuhusu ku follow your passion

ruge ana mapungufu yake.. ila ni mtu poa sana na sana
 
Queenever

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
2,064
2,000
Nilikua nampenda,,Niliumia sana nilivomuona kwenye kumuaga Dada wa magufuli,,alikua amechange sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom