Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,378
Naongelea zile walizokuwa trafick police wanatuumiza nazo za kupima mwendokasi....maama unaweza ambiwa hapa ni speed limit 50 km/h ww umepigwa picha unatembea kwa 53 /h. Kwa njia ya morogoro road naona zimebaki sehemu nne pale mbele ya chalinze zile zilizojengewa kabisa juu ya road. Baada ha hapo naona ni wendo mpeto tu kuna trafick but hawana hayo madubwana.