dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,171
- 3,087
Kama mwezi mmoja na nusu uliopita Msajili wa vyama vya Siasa Nchini alimuandikia barua Mwenyekiti wa ACT WAZALENDO, akimueleza adhma yake ya kukifyekelea mbali chama hicho
Miongoni mwa sababu alizozieleza ni kile alichokiita kitendo cha wale aliowaita wanachama wa chama hicho kushusha bendera za chama cha CUF, kitendo alichosema ni ukiukwaji mkubwa washeria za vyama vingi, ambapo alama hizo(bendera)za vyama zinatakiwa kuheshimiw na kuzishusha ni kosa kwa mujibu wa sheria
Hivi juzi kati ilipokelewa katika vyombo mbali mbali DC Muro kufanya kitendo kama hicho lakini cha kushangaza yeye kama mlezi, mlinzi, na muangali wa vyama hivyo mpaka leo hajatoa tamko lake la kukemea uvunjaji huo wa sheria jee tuseme hakupata taarifa au kosa hilo linategema nani alielitenda?
Naomba ufafanuzi