"Wakuu Nataka niende Tanzania nipe Sifa ya Hiyo na Jinsi ya Kuishi"

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,272
2,000
Habari watanzania !!


Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 naishi Norway now ila napenda sana kutali nimefika nchi nyingi tu kama Egypt mali na tunisia. Nikiwa mdogo sana nilikuwa na wazazi wangu katika safari zote hizo. Mimi nina asili kidogo ta tanzania

♠Hotel zinakuwaje yani bei?
♠Amani yake ipo vipi ?
♠Hali ya hewa yani jua sio kali sana kama Nigeria
♥Uhuru wa kutembea

Naombeni msaada please

cityzen chairman am here
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
48,899
2,000
  • Hotel - angalia googe
  • Amani - Ili uwe na amani inabidi uwe muoga.
  • Hali ya hewa - kwa sasa jua ni kali mpaka kuku anasimamia mguu mmoja-mmoja kwa awamu.
  • Uhuru wa kutembea - unaweza kutembea popote ila wakijua wewe ni mgeni utapigwa kabali hata na mama muuza vitumbua ama na polisi wenye njaa kali kuliko mamba.
 

jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,147
2,000
Humu utalishwa sumu kuwa nchi haikaliki wala kutembeleka. Ila nakuhakikishia Tz tuko vizuri sana, uonacho mitandaoni ni tofauti na kilichopo huku. Huku maisha yanasonga, amani na upendo kama kawaida. Matukio madogo yapo kama huko norway yule jamaa alivyopiga risasi wanafunzi. Matukio hayakosi ila hayajaifanya norway kuwa nchi mbaya, ndio kama Tz.
Nenda ubalozini utapata kufahamu kila kitu cha huku.
 

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,272
2,000
Humu utalishwa sumu kuwa nchinhaikaliki wala kuyembeleka. Ila nakuhakikishia Tz luko vizuri sana, uonacho mitandaoni ni tofauti na kilichopo huku. Huku maisha yanasonga, amani ma upendo kama kawaida. Matukio madogo yapo kama huko norway yule jamaa alivuopiga risasi wanafinzi. Matukio hayakosi ila hayajaifanya norway kuwa nchi mbaya, ndio kama Tz.
Nenda ubalozini utapata kufahamu kila kitu cha huku.
thanks uncle
 

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,272
2,000
  • Hotel - angalia googe
  • Amani - Ili uwe na amani inabidi uwe muoga.
  • Hali ya hewa - kwa sasa jua ni kali ila tunatarajia mvua zitaanza soon
  • Uhuru wa kutembea - unaweza kutembea popote ila wakijua wewe ni mgeni utapigwa kabali hata na mama muuza vitumbua ama na polisi wenye njaa kali kuliko mamba.
♥♥♥♥
really brother
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom