Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zeni wadau, nimekutana na changamoto katika kufanya malipo kwa kutumia huu mfumo wa tarura e-parking. Jana nilikua na shughuli zangu pale TRA mwanza nikapaki gari kwanje, kabla nilikua na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ya MEI MOSI wana jamvi. Kuna jambo naomba niwashirikishe, mnaweza mkawa na majibu yake. Kwanini familia nyingi za Kitanzania/Kiafrika huwa wanatumia sana mlango wa nyuma kuingia au kutoka...
5 Reactions
53 Replies
10K Views
Siku ya leo inaishia na 'habari kubwa' ya bilionea Arusha kuumbuana na mkewe wa ndoa mitandaoni... Mkewe walizaa watoto wazuri wasio na kasoro lakini sasa wazazi wametalikiana na wanaumbuana na...
50 Reactions
183 Replies
69K Views
HUSTLE yako ya Kwanza ulilipwa Pesa ngapi?? taja tuone vile wengi tumetoka mbali!
1 Reactions
53 Replies
7K Views
1.Kuna wanawake wanaopewa mimba kisha kutelekezwa na wanaume kama tz? 2.Iwapo mwanafunzi atapigwa mimba, miaka 30 itamuhusu huyo mwanaume aliyempa mimba? 3.Viongozi huwa wanafanya ufisadi? 4.Vipi...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Kwa walio Dar na wako tayari kuwekeana fedha kwa njia ambayo tutakubaliana tunaweza kuwasiliana PM then tutapeana namba za simu. Mimi niko upande wa kupinga kuwa kesho hatatangaza salary mpya...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
PASIPOTI mpya ya Tanzania ya kielektroniki, imetunukiwa Tuzo ya kuwa pasipoti bora katika Ukanda wa Ulaya, Mashariki ya Kati na Afrika, kwa kukidhi viwango vya ubora wa kiusalama. Viwango hivyo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu [emoji1538] Hotuba ya mkuu wa nchi katika sherehe za Mei Mosi malalamiko ya watumishi na wafanyakazi ni mengi sana husus wa serikali Neno langu kwenu wafanyakazi wa serikali kwanini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ikiwa karibu tunafunga mwezi March ni miezi mitatu sasa toka utoe tamko lako la kutaka watu walipwe cha ajabu hamna kinachoendelea ni ubabaishaji tu ni bora hata lile tamko lisingekuwepo la kusema...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari vya mikoa tofauti na Dar Es Salaam, leo wameamua kufuta ukimya na wamelalamikia ubaguzi unaofanywa na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) dhidi yao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Licha ya kwamba pombe imekuwa sehemu ya maisha ya binadamu lakini matumizi ya pombe kwa kiwango kikubwa yanahusishwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sayansi imekwisha thibitisha kuwa Pombe...
6 Reactions
139 Replies
16K Views
Mwenyezi Mungu akikupa ' Utajiri ' basi hakikisha sana Kwanza unaanza Kuonyesha ' Upendo ' wako kwa Watu wako wa karibu au ulionao Jirani kuliko kuonyesha ' Ufahari ' na ' Sifa ' kwa Watu wa mbali...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mungu ni mwema kwa Watu wema muda wote na kwa kila wakati. Fikra zako na Maisha yako ni ya ukweli mtupu, hakika wewe ni wakipekee Mungu azidi kukuimarisha. Lawama unazo pata natamani nife...
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Anatiaaa aibu Anachofanya anakutisha baadaye anakwambia nakuja. Akija anakupa file lake unaweka hela anaondoka bila aibu anakwambia tumbukiza vocha Mmeanza lini kusainisha madereva wanaokosea...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Ndugu zangu siku za hivi karibuni kumeibuka msemo mpya katika kumtakia heri marehemu huko aendako,, utaskia mtu anasema; ''Mwenyezi Mungu amlaze mahali alipojichagulia/anapostahili" Huu si...
8 Reactions
49 Replies
10K Views
Salaam Jf, Niruhusu niwe sehemu ya baraka katika Jmosi ya leo. Kwa siku kadhaa zijazo nitakushirikisha mambo ya msingi ambayo yamekufanya mpaka leo uendelee kuwa masikini. Umaskini ni adui wetu...
2 Reactions
55 Replies
7K Views
Jamani Uzi unajieleza nakumbuka alivyokufa kanumba kuna Dada jirani alilia kabisa lakini alifariki mjomba wake miaka2 baadae alikuwa kawaida kabisa.
1 Reactions
3 Replies
878 Views
Hii ni barua ya wazi kwa Mjomba ake Monde Arabe Mwangaluka mami,ulemhola mami,ulichiza mami, Lengo la barua hii ni kukukumbusha tu Mjomba kuwa sisi na wewe sote tu manyani na ni viumbe wa kupita...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kwema huko? Mwenzenu tangu asubuhi niko naangalia TV . Sasa kwa hali hii uchumi wa viwanda utatekelezeka? Kama msomi mzima mwenye degree ya siasa kutoka chuo kikuu cha dsm niko naangalia TV...
10 Reactions
63 Replies
7K Views
Ni tukio ambalo mpaka sasa siamini amini hadi imenipelekea kula ugali wangu kwa mkono wa kushoto maana kilichonitokea sijui ni uzembe wangu au kutokujua au ni kujisahau ipo likizo kidogo kikazi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…