Mtu mmoja eneo la mpepo lindi anayefahamika kwa jina maarufu MADAFU leo amejikuta matatani baada ya kujerua kwa kisu
Hii imetokea baada ya kugundua aliyekuwa mke wake yupo chumba cha pili kutoka...
HIVI kuna nini au watu wamekuwa motivated na nini maana kila mwisho wa week unakutana na makundi mbalimbali ya watu wakifanya joging................. najua wengine wapo humu watueleze, sio vibaya...
Wana JF nauliza nina sababu kubwa, na maswali yanayo hitaji majibu.
TAKUKURU wanaingilia majukumu ya ofisi zingine mtaani Je, huwa wameombwa na vitengo hivyo kusaidiwa kukagua maeneo yao na...
baada ya dr MENGI kufa kapokea sifa nyingi na appreciation za kutosha na tumejua mambo yake mengi ambapo akiwa hai wanaojitapa kuwa wanamjua walikua hawajitokezi na kuyasema, huu ni u.k, kwa nn...
Huku nmegundua ndipo ambapo mtu anakuwa real pamoja na kuwa anatumia ID fake.
Kule kwingine mtu anatumia Jina Real halafu anakuwa fake. Anachoandika mtu jamiiforums ukifuatilia kwa makini threads...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka wanafunzi na wahadhiri wa vyuo vikuu vya Teknolojia Mbeya (MUST), Mzumbe na Saint Augustine (SAUT) kutekeleza majukumu yao kwa...
Shule 20 za mkoa wa Pwani zimekabidhiwa kompyuta mpakato 100 kupitia mradi wa Umoja wa Mataifa (UN) unaohamasisha matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano katika kufundisha.
Mradi huo...
Niko hapa halotel toka saa mbili hadi hivu sasa saa 6 mchana. nimekuja kusajiri laini yangu.kwa Huduma inavyotolewa inaonesha dhahiri hamjajipanga kabisa ni vyema mkahahirisha sasa kusajiri kuliko...
*NAOMBENI MNISAIDIE KUSHARE HUU UJUMBE WADAU*
Kwa majina naitwa Enock Yusto mkazi wa Dar es salaam.
Leo tarehe 3/05/2019 majira ya saa Tisa alasiri nimeibiwa bag langu maeneo ya Msimbazi Centre...
Mwanafunzi Magreth Kayuni (15) wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Vwawa iliyopo wilayani Mbozi mkoani wa Songwe, amekutwa amejinyonga jikoni leo asubuhi kufuatia adhabu ya kupigwa na...
#Utafiti Usio Rasmi ila ni Mhimu
Kwa mjibu wa utafiti huu mdogo nilioufanya kwa kuchukua kada tatu ya wafanyakazi walimu, bank officers na wale wa wizarani nimebaini kuwa nyongeza ya mishahara yao...
Kutokana mabishano Mengi juu ya uwezo Wa serikali ya awamu ya tano kuchapa kazi!!!!
Usipumbazwe na mapichapicha na matukio mitandaoni!!
Njia rahisi ya kujua kama serikali hii ni ya wanyonge...
Tawi hili la UVCCM la chuo kikuu cha Afya Muhimbili limekuwa likijadili mambo mbalimbali kuhusu Chama ila lengo kubwa ilikuwa ni kuhamasisha wanachama kujiandikisha ili wapatiwe kadi mpya za Chama...
Habari wadau wote wa JF
Najiuliza ili swali bado sipati jibu katika pitapita zangu kwenye kuitafta riziki nakutana Sana na watumishi wengi wa serikali kama madaktar, askari Mafsa ugani, manes nk...
Wakati wananchi tunaomboleza kuondokewa kwa kipenzi cha hasa walemavu, Dr R Mengi, ambaye amejijengea heshima kubwa ya kutoa nafasi nyingi za ajira, humu JF tumekuwa tukilalamikia ukosefu wa ajira...
Biashara ya madanguro katika baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam imeshamiri na kuhatarisha kuporomoka kwa maadili kwa watu wanaoishi jirani na madanguro hayo.
Hata hivyo, watu wanaofanya...
Kila mtu huwa anaogopa kitu flani aidha kutokana na mazingira aliyopo au wakati.
Mfano, kuna watu wanaogopa kutembea usiku, kupanda boda.
Kila mtu aseme anachoogopa na kwanini...
Habari zenu ndugu zanguni
Kuna maumivu ambayo nayapata kwapani ambayo sijui yametokana na nini
Yalianza juzi nilipo amka tu nikahisi maumivu kama kuna kipere lakini nikapuuzia
Ila jioni...
Dar es Salaam. Michael Samwel (23), mlinzi wa kiwanda cha unga cha Lina Miller kilichopo Msongola jijijni Dar es Salaam, ameuawa usiku wa kuamkia jana Alhamisi Mei 2, 2019 lindoni kwake.
Samwel...