Kwamba polisi au dola wanadai hawahusiki na hawa wanaoteka watu,wala hawawajui,inawezekana ni kweli,je serikali iko tayari kuruhusu wananchi wafanye wafanyalo pindi WASIOJULIKANA wanapoteka mtu,au...
Maisha Ya Mange Kimambi Katika Ulingo Wa Siasa
Achana na mambo ya udaku na kulumbana na wasanii diamond, zari, wema sepetu, na kadhalika pia achana na elimu yake ya juu ya biashara,
Mange...
Kwani hakujua hao aliotangaza kuwataka hawahitaji?
Je serikali hutangaza ajira bila kutafiti wanachohitaji?
Kwa umakini unaosisitizwa na utawala huu jambo hili kufanyika ni kudhalilisha...
Ni hakika ugomvi huu ni muda mrefu hadi inachosha kuusikia! Picha Halisi kugombea ARDHI au MAJI ni dhambi kubwa ndiyo inayoweza kuzalisha vita vya karne hadi Karne!
Napenda sana Israel Na...
Je wajua historia ya tajiri wa pili duniani Warren Buffet? Yeye anamiliki zaidi ya dola za kimarekani bilioni 50 na ameshachangia zaidi ya billion 30. Haya ndio baadhi ya mambo yake muhimu...
Katika mafunzo ya kijasusi wanayopewa CIA hakuna funzo la Muhimu kama '' Situation awareness''.
Yaani kujua mazingira yanayokuzunguka na kinachoendelea wakati wote ili ukikutwa na bahati mbaya...
Nawamiss sana hawa jamaa walikua wanaharakati wa kweli wasiokua wanafiki
Ulikua ni ukurasa au kundi la watu pekee walofanikiwa kuwafikia mamilioni ya watanzania kwa muda mfupi na kujizolea...
Huwa napitia mara kwa mara ktk tovuti yenu ya Kiswahili. Siku hizi za karibuni mmekuwa si makini ktk uandishi wenu. Mfano mdogo tu ktk habari ya Meghan kajifungua mtoto wa kiume mnasema jina la...
Habar za muda huu ndugu wanabodi
This is not the right time for politics,let's put aside our political affiliation, let's be his voice
Take a time and think about the guy...place yourself...
Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi na watu maarufu ni vyema tunazipa barabara hizi majina ya wakandarasi wanaozijenga, tukiweka bango La mahali anakopatikana na namba zake. Hii itasaidia...
Leo ITV mmetuboa watazamaji wenu, tulikuwa tunategemea mtatulushia Mubashara toka mwili unavyoshushwa na yanayojili mitaani Kama ilivyokuwa wakati wa Ruge lkn sivyo, Tambueni huyu ni mtu Mkubwa na...
Kuna minong'ono na maneno ya wazi kwamba kuna viumbe wa ajabu wamekimbilia katika dunia na kusababisha hofu na wasiwasi wa maisha ya binadamu wa kawaida, kwa mujibu wa mwanasayansi wa fizikia na...
Leo nimeshika Coin ya mia mbili na mia tano nikashangaaa kuona zote zina Karume. Nikajiuliza ni kwanin ziwe na mtu mmoja wakati kuna viongozi wengine walio namchango kwenye taifa letu wa pande...
Warren Buffett alizaliwa mwaka 1930 katika mji wa Omaha, Nebraska, Marekani. Baba yake mzazi Howard Buffett, alikuwa akiuza dhamana katika benki ya Union Street, Omaha 1931. Benki hiyo ambayo baba...
Wakuu, inaeleweka mifuko la plastiki ni hatari kiafya kwa matumizi ya vyakula hasa vya moto.
Shukuran kwa serikali sasa kutoa amri ya kutoizalisha na kuitumia hapa nchini. Ninapita pita kwa mama...
Hivi ni vitu gani tunapaswa kuvizigatia kwa wakati wa kuuza ama kununu mali kama vile nyumba , viwanja, shamba,n.k
Hapa tujuzane taratibu zinazohusika ikiwemo aina za document zinazohusika wakati...