nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
Kwamba polisi au dola wanadai hawahusiki na hawa wanaoteka watu,wala hawawajui,inawezekana ni kweli,je serikali iko tayari kuruhusu wananchi wafanye wafanyalo pindi WASIOJULIKANA wanapoteka mtu,au kwa lugha rahisi serikali itamke tu kuwa mkiwaona wanajaribu kuteka mtu tusaidieni kuwashughulikia kama alivyofanya ZAKARIA kule tarime,