Mange Kimambi - kada wa CCM anayejielewa

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Maisha Ya Mange Kimambi Katika Ulingo Wa Siasa

Achana na mambo ya udaku na kulumbana na wasanii diamond, zari, wema sepetu, na kadhalika pia achana na elimu yake ya juu ya biashara,

Mange kimambi ni kada mtiifu wa CCM kama ulikuwa hujui japo wenyewe wanahangaika naye kana kwamba ni Mpinzani

-Mange Kimambi amekuwa kada wa chama tawala yani Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu alipoanza kufuatilia na kujihusisha na mambo ya siasa na alifikia hatua akawa anasema hajui maisha yake yangekuaje bila CCM.

Lakini Mange Kimambi amejizolea na kujipatia umaarufu zaidi kuanzia mwaka 2016 maara baada ya serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa Mhe. Rais John Pombe Magufuli kuingia madarakani.

Umaarufu wa Mange Kimambi umetokana zaidi kitendo cha yeye kuonesha na uthubutu wa kupinga waziwazi mambo mengi yanayofanywa na Serikali iliyo chini ya chama tawala CCM.

Umaarufu wake huu umepelekea kuwa ni miongoni mwa watu wenye wafuatiliaji wengi katika mitandao ya kijamii hasa instagram kiasi cha kufikia kuwa na wafuatiliaji zaidi Milioni mbili (2M followers).

Mwana Dada huyu anaishi nchini Marekani tangu mwaka 2008 ambako ameolewa na mzungu
 
Alikuwa CCM ila sio sasa

Halafu aliolewa na mzungu na alishaachika

Naona unashindwa kutofautisha past na present
 
Umemzidishia sifa sana. Je, kuna kacheo anakatafuta huko chama?? Unajua maana ya mtu kuwa kada wa kyama? Kama ni kadi nadhani hata weye unazo 2 au 3 za vyama mbali mbali. Je, weye nawe ni kada wa kyama kyipi?
 
1089121
 
Kwani kuwa na kadi ya CCM ni ufahari na sifa???
 
Maisha Ya Mange Kimambi Katika Ulingo Wa Siasa

Achana na mambo ya udaku na kulumbana na wasanii diamond, zari, wema sepetu, na kadhalika pia achana na elimu yake ya juu ya biashara,

Mange kimambi ni kada mtiifu wa CCM kama ulikuwa hujui japo wenyewe wanahangaika naye kana kwamba ni Mpinzani

-Mange Kimambi amekuwa kada wa chama tawala yani Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu alipoanza kufuatilia na kujihusisha na mambo ya siasa na alifikia hatua akawa anasema hajui maisha yake yangekuaje bila CCM.

Lakini Mange Kimambi amejizolea na kujipatia umaarufu zaidi kuanzia mwaka 2016 maara baada ya serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa Mhe. Rais John Pombe Magufuli kuingia madarakani.

Umaarufu wa Mange Kimambi umetokana zaidi kitendo cha yeye kuonesha na uthubutu wa kupinga waziwazi mambo mengi yanayofanywa na Serikali iliyo chini ya chama tawala CCM.

Umaarufu wake huu umepelekea kuwa ni miongoni mwa watu wenye wafuatiliaji wengi katika mitandao ya kijamii hasa instagram kiasi cha kufikia kuwa na wafuatiliaji zaidi Milioni mbili (2M followers).

Mwana Dada huyu anaishi nchini Marekani tangu mwaka 2008 ambako ameolewa na mzungu
Umaarufu wa Mange ulitokana na utata wa kifo cha baba yake ambaye alijiua akiwa katika chumba cha hotel yake pale Africana. Niishie hapo tafadhali.
 
Back
Top Bottom