Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sio Jambo la kawaida kabisa kwa huyu mzee kukosa kwenye Msiba tena mkubwa kama huu wa Mheshimiwa Reginald Mengi. Huu ukimya wake pia hapana.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, Hatukatai watu uwezo wanazidiana lakini si kwa unafiki huu; 1. Mtu anachangia mia mbili au mia tano kweli? Halafu unaandika na jina kweli? Hivi kweli kama lengo ni kukusanya hela ya...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Haki waislam tuna hasara tena hasara kubwa mnoo mnakumbuka bakwata toka imeanzishwa katika misingi isiyoeleweka? Bakwata jana mwezi umeandama nchi mbalimbali mpaka kenya cha kushangaza wamesema...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kadhi Mkuu wa Tanzania, Abdallah Mnyasi amesema mfungo mtukufu wa ramadhani utaanza keshokutwa Jumanne ya Mei 7, 2019. Akizungumza leo Jumapili Mei 5,2019 kupitia televisheni ya Shirika la...
3 Reactions
94 Replies
10K Views
Wakuu tuekane sawa, kila mmoja anaongea lake..
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Jumapili ya tarehe 5/5/19, padre mmoja ambaye ni mjumbe wa kitengo cha uchungaji ndani ya baraza la maaskofu katoliki Tanzania alikika akisema kuwa waamini wengine wanamatatizo ambayo hayahusiani...
1 Reactions
0 Replies
802 Views
Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada . Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi...
15 Reactions
72 Replies
8K Views
Kwanini msimshitaki kama anamakosa? Majibu na kauli za wana usalama zinaashiria mnahusika, waziri na watu wako hii si sawa
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa kwa nini misiba "ya kitaifa" kama huu wa Mzee Mengi na ule wa Ndugu Ruge unapelekwa kwenye ukumbi mdogo kwama ule! Ni kweli una hadhi na heshima nchini lakini kwa upande wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Salamu kwa wanajukwaa wote. Kuna mambo yananitatiza kuhusiana na sakata la CAG vs Bunge,na hapa jukwaani naamini jibu linaweza patikana kama halitapatikana basi,tutalisogelea. Kwanza napenda...
4 Reactions
78 Replies
7K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema hakuna mtu atakayefungiwa biashara yake kwa sababu ya kuchelewa kulipa kodi au malimbikizo ya kodi, na endapo itaonekana kuna ulazima wa kufanya hivyo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
naomben kujua maana na tabia ya majina haya 1 Richard 2 Rohit 3 Arian 4 catherine: 5 Glory 6 Teddy
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chadema nao wamejiunga na watesi wao wanaotuma gangsters kuwateka na kuwaua, nao eti wanawaita "watu wasiojulikana"! Cha kushangaxa, Mdude katekwa mchana kweupe na wamewaona watu waliomteka...
0 Reactions
3 Replies
798 Views
Mnachofanya ttcl hakina jina lingine zaidi ya kutapeli wateja wenu, tena mnatapeli bila aibu,sijui kama mh MBARAWA unalijua hili,kwenye menu ya TTCL kuna sehemu ya kutuma pesa kwenda benki, na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Tanzania ni nchi ya amani lkn pia ni nchi ambayo hivi karibuni imekumbwa sana na baadhi ya raia wake kupotea(kutekwa) na watu wasio julikana. Leo nikiwa na majonzi mazito napenda kuuliza "wako...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa moyo wangu wote ,nakuomba hebu jipime kama hiyo nafasi inakutosha.unakiangamiza chama shimoni.mbowe hawezi kukuambia haya kwa kuwa wewe ni chaguo lake. Wala siyo vibaya ukijiuzuru kwa maslahi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
*******UKIANGALIA HII RAMANI UNAONA KWAMBA BNA SISI TUPO KWENYE PLAN,MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA KIGOMA.....kuna document anayo member moja aitwaye LUGWA inaonyesha kikao kilichofanyika kati ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nipo maeneo ya biafra folen ni ndefu sana kuelekea magomen kuna nini huko mbele?? Mwenye kujua atujuze tutafute njia mbadala
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kweli zamani ilikuwa raha sana hasa kwenye ushabiki wa mpira.Manake ilikuwa lazima kuingia uwanjani (uwanja wa bibi) kila mechi muhimu kwa namna yeyote!!!!tatizo kipindi hicho ufukara ulikuwa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…