naomben kujua maana na tabia ya majina haya
1 Richard
2 Rohit
3 Arian
4 catherine:
5 Glory
6 Teddy
Mhhhhiyo namba 5 wanagawa,yaani kumpata ni dk mbili tu
Kinachosababisha tabia ya mtu ni vitu 2 vya msingi: kwanza,asili (nature) yaani yawezekana kurithi kizalia cha tabia fulani pili mazingira (nurture),mambo ya majina yana athari ndogo sana katika kuakisi tabia ya mtu.