Mashiji /katibu mkuu chadema tafadhali jiuzulu

Mashiji /katibu mkuu chadema tafadhali jiuzulu

MTAKA HABARI

Senior Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
123
Reaction score
149
Kwa moyo wangu wote ,nakuomba hebu jipime kama hiyo nafasi inakutosha.unakiangamiza chama shimoni.mbowe hawezi kukuambia haya kwa kuwa wewe ni chaguo lake.

Wala siyo vibaya ukijiuzuru kwa maslahi mapana ya chama.Jiuzulu ili kuonyesha uwajibikaji na kulinda heshima yako.Chama kinaangamia.

Ushauri tu.
 
Back
Top Bottom