CHADEMA mmeshindwa hata kutangaza vita ya kufa na kupona dhidi ya watesi wenu "Wasiojulikana"?

Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,774
4,269
Chadema nao wamejiunga na watesi wao wanaotuma gangsters kuwateka na kuwaua, nao eti wanawaita "watu wasiojulikana"!

Cha kushangaxa, Mdude katekwa mchana kweupe na wamewaona watu waliomteka. Wamewatambua kwa sura na wajihi wao. Na mchoro wa tukio wameutoa. Lissu kadunguliwa mchana kweupe. Mawazo kapigwa shoka Katoro. Roma Mkatoliki na Mdude mwenyewe walishatekwa na wakarudi tena uraiani. Na nani, ...na "watu wasiojulikana"

Cha ajabu watu hawa wanaoendesha mashambulizi dhidi ya Chadema na wapinzani wengine, Chadema wenyewe nao wamejiunga na ma godfather wanaowatuma. Wanawaficha watekaji, hawataki kuwataja waziwazi, wanawahakikishia kwamba hawawajui hivyo waendelee tu kufanya uhalifu. Mbona hata wakifanya hawajulikani!

Wanafanya matukio waziwazi. Kwanini basi isitangazwe vita tu dhidi ya hao wasiojuliakana maadam wanajulikana kwa sura na wajihi. Iwe ni vita ya kufa na kupona. Asiyejulikana akionekana popote pale ashughulikiwe sawasawa na anavowashughulikia akina Mdude na Mawazo na Diwani wa Kibondo. Tuheshumiane.

Mnawindwa na kumalizwa. Mnanini cha kupoteza mpaka sasa?!!! Zitto amesema civic action haikwepeki wakati huu. Na ndivyo inavyopaswa kufanyika la sivyo, tusubiri ZZK, JJM, FAM na wengineo kupotea kama wanavyopotea wezao.

Tuache lalama.
 
Chadema nao wamejiunga na watesi wao wanaotuma gangsters kuwateka na kuwaua, nao eti wanawaita "watu wasiojulikana"!

Cha kushangaxa, Mdude katekwa mchana kweupe na wamewaona watu waliomteka. Wamewatambua kwa sura na wajihi wao. Na mchoro wa tukio wameutoa. Lissu kadunguliwa mchana kweupe. Mawazo kapigwa shoka Katoro. Roma Mkatoliki na Mdude mwenyewe walishatekwa na wakarudi tena uraiani. Na nani, ...na "watu wasiojulikana"

Cha ajabu watu hawa wanaoendesha mashambulizi dhidi ya Chadema na wapinzani wengine, Chadema wenyewe nao wamejiunga na ma godfather wanaowatuma. Wanawaficha watekaji, hawataki kuwataja waziwazi, wanawahakikishia kwamba hawawajui hivi waendelee tu kutanya uhalifu. Wanawaita watu wasiojulikana.

Haya, hata kama hawajulikani. Lakini hawa watu mbona wanafanya matukio wazowazi. Kwanini basi isitangazwe vita tu dhidi ya hao wasiojuliakana. Iwe ni vita ya kufa na kupona. Asiyejulikana akionekana popote pale ashughulikiwe sawasawa na anavowashughulikia akina Mdude na Mawazo na Diwani wa Kibondo.

Mnawindwa na kumalizwa. Mnanini cha kupoteza mpaka sasa?!!! Zitto amesema civic action haikwepeki wakati huu. Na ndivyo inavyopaswa kufanyika la sivyo, tusubiri ZZK, JJM, FAM na wengineo kupotea kama wanavyopotea wezao.

Tuache lalama.
Mbona wewe unajiweka kando?
 
Back
Top Bottom