Barabara ya Morogoro pale Jangwan kumefungwa sababu maji yamefurika na yanapita juu ya daraja.Nipo maeneo ya biafra folen ni ndefu sana kuelekea magomen kuna nini huko mbele?? Mwenye kujua atujuze tutafute njia mbadalaView attachment 1090195
bora wabaki hukohuko huku nako kuna hatari fireBarabara ya Morogoro pale Jangwan kumefungwa sababu maji yamefurika na yanapita juu ya daraja.
Hivyo magari yote yanayotoka ubungo kwenda mjini yakifika Magomen mataa yanapitia njia ya kwenda karume
Na hiyo njia imefurika magari.
Na magari ya kwenda Magomen kutokea kinondoni yamezuiwa kwa sababu pale Magomen mataa hakuna nafasi ili yaende njia ya karume.
Kwa wanaoenda mjini
Pitien njia ya kutokea salender inatembea
Hvi lile daraja pale jangwani wakati Lina jengwa hawakuwepo wakandarasi wazawa tena wenye uzoefu wa maeneo korofi hapo DAr?Barabara ya Morogoro pale Jangwan kumefungwa sababu maji yamefurika na yanapita juu ya daraja.