2025 SAFU YA VIONGOZI

2025 SAFU YA VIONGOZI

brightoscar

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
369
Reaction score
546
Maono yaani baada ya Simba wa Yuda Jiwe kutoka then Rais anakuwa Makonda Waziri Mkuu Gambo na wizara nyeti wanapewa Hapi,Muro na wakina Sabaya nawahakikishia Watanzania ndoto ya Jiwe kuona Tanzania inakuwa donor country itafanikiwa.

Na Watanzania wote tunajua hili ni kweli tusipoweka mihemuko I see Tanzania mpya hili likifanyika.

Mungu ibariki Tanzania na tulindie viongozi wetu vijana wenye uthubutu.

By the way I wish hawa jamaa wote wagombee ubunge then Jiwe awape wizara 2020 mtaona na mtajua naongelea nini. Time will tell.
 
Back
Top Bottom